Pesa kwa wajasiriamali wa Kuku na Mahindi

MamaEE

Member
Jun 2, 2011
99
57
Akina Chasa, Mama Joe, Sayuni, SUDEKI na wengineo.... Fursa hii ni yenu hasa wenye makampuni rasmi katika value chain ya kuku na mahindi.

Tangazo lilikuwa on the Guardian jana so here you go: http://tanzania.brac.net/images/announcement%20swahili.pdf

Application iko hapa:

http://tanzania.brac.net/images/en%20-%20lead%20project%20investment%20fund%20application%20and%20faq.pdf
 
Funguka *****

Nimeweka hizo link za Brac maana ukigonga hapo unapata maelezo kwa lugha ya taifa na form pia. Ni funding combination ya grant and mkopo wenye masharti nafuu. Ilitangazwa magazetini juzi J4 lama sikosei.

Nimeiona kama fursa nzuri na japo sijarasmisha kampuni niliona huenda wadau wengine wa kuku watafaidika.
 
Asante sana kwa taarifa ila naona ni ya watu wa moshi, manyara, arusha na dodoma. dar moro wala pwani tumeachwa.....:A S 13::A S 13:
 
Back
Top Bottom