Kama ni wito ambao unatoka ndani kabisa ya mtima ni sawa ila kwa yeye wanamizengo tumeona kuna namna na yeye sio wa kwanza hata Mbowe nae ni walewale tu, Kwa upande wangu mpaka waweze kumnunua T.A.L na HECHE ndio tunaweza kuongea lugha moja ya kitaifa.
LEMA TOKA SIKU ALIPOSEMA MAMA NTILIE NA BODABODA NI KAZI ZA LAANA NDIO SIKU YA MWISHO KUWA MAKINI NAE NA SIJUI ALITAKA KILA MTU AWE JAMBAZI NA CHAWA WA ABDUL KAMA YEYE.
Mi Lema nilimfuta kwenye watu wenye akili timamu toka alip ropoka kuwa Mama ntilie,bodboda na wengine waangaikaji nikamtoa mazima kwenye akili yangu na sijui alitaka kila mtu awe jambazi kama yeye.
Kabla ya kuondoka sehemu inayo mpa ugali kwa ajili ya kuitumikia ccm huku akiwa CDM apite kwanza kwa Msigwa na Clotois Chama awaulize habari ya kuondoka sehemu yenye furaha ya kweli ili upewe vipande,ndio achukue uamuzi.
Naona umekuja kupima maji kwa kijiti,Mbowe hiyo akili ya kuwa mwenyekiti naomba ufute kabisa au uende kuwa mwenyekiti kwenye chama cha majambazi na wabakaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.