Huyu binti anaonekana kuwa na afya njema, msafi na ana muonekano wa akili nzuri na uelewa wa kutosha. Kwa muonekano huo, na mahala alipo - inawezekana anamsaidia mama /Shangazi yake kupeleka hizo mboga ama nyumbani au Gengeni kwenye mradi wao. Hiyo haina maana kuwa hasomi shule, labda kuwe na...