Recent content by Mamaa Africa

  1. Mamaa Africa

    Moyo unabubujika machozi

    Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mamaa Africa

    Moyo unabubujika machozi

    Labda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mamaa Africa

    Moyo unabubujika machozi

    Huwa inatokea kupenda usikopendwa, mimi sintokuwa wa kwanza kwenye hii dunia. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mamaa Africa

    Moyo unabubujika machozi

    Asante, ni maneno marahisi kusema but maneno magumu sana kutenda hasa kama ulipenda kweli, But asante kwa ushauri na faraja hii Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mamaa Africa

    Moyo unabubujika machozi

    Asante japo ni ngumu kumeza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mamaa Africa

    Moyo unabubujika machozi

    [emoji106][emoji16]
  7. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Yani hakika baraka za Mungu ziwafikie kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Kwa kweli wanastahili hongera Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Kina ba dai wapo wengi sana mama kubwa, pambana muda ni mwalimu mzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Hahaha pole kwa kuwa mario Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Kuna wanaofanikisha bila hata senti ya maanaume either baba mzazi au baba mlezi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Vigezo na masharti kuzingatiwa, sikutaka mdai picha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mamaa Africa

    Hongereni wamama mliofanikisha kulipa ada kwa watoto wenu wakati baba zao wako mjini wanadhurura

    Napenda kuwapongeza sana wanawake wa nguvu walioamua kujitosa kulipia ada watoto wao huku baba zao wapo mjini wanazurura. Niwaambie tu ninyi ni wanawake wa nguvu, endeleeni kuonesha upendo kwa hao watoto mana kuna siku mtakula matunda ya kazi ya watoto wenu. Acheni hawa kina baba wachache...
Back
Top Bottom