Na hapo ndipo Balozi Mwapachu unapokosea, ama kwa makusudi kabisa una-divert attention kutoka kwenye uovu wa kitendo chenyewe cha ufisadi. Ni ngumu kuamini mtu kama wewe, na uzoefu wako wa uongozi tukiwa tukisikia jina lako tangu tukiwa wadogo, eti hii leo unaweza tena bila aibu yoyote kuongea...
Hiyo taarifa na uchambuzi uliotolewa hapo juu unaonyesha ni jinsi gani hao walioitayarisha, hawaielewi sayansi ya takwimu, ama hawakufanya jitihada za kupata ushauri, kabla ya kutoa maelezo yao, kutoka kwa wataalamu waliobobea na wanaoaminika katika takwimu.
(A) Hilo la kufanana ukubwa wa...
Nafikiri ungepeleleza kabla ya kutamka kwamba hakuna uwazi jinsi walivyochagua sample. Angalia taarifa kamili ya TWAWEZA hapa http://www.twaweza.org/uploads/files/PolPoll-EN-FINAL.pdf
Kama kuna sifa kubwa ya huu utafiti wa TWAWEZA, tofauti na tafiti nyingine ni kuwa umefanyika kisayansi, kukiwa...
1. Umaskini unamfanya mtu ajiuze? Wale wanaojiuza kwenye western world kwani ni kwa ajili ya umaskini kwani.. Na unajiaminisha kuwa kesho Lowassa akiwa Raisi ndio wataacha kujiuza? pole sana ndugu yangu kama unafikiri hivyo.
2. Mgawo uliopo sasa haufikii hata asilimia 10 ya ule uliokuwepo...
Huwezi kuamini jinsi gani ama (1) watu wako bado in denial (2) ama wanashabikia tu bila kufikiria kwa makini gharama (consequences) zitakazowatokea watanzania ikiwa kweli wanachosema kitatimia (3) ama wapo katika jamii forum kama jeshi la mashambulizi la ku-deflect kila linaoongelewa ambalo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.