Recent content by mama wa kichaga

  1. mama wa kichaga

    Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

    Me sio mchaga wala me ni mmasai mwenzangu ndo mchaga
  2. mama wa kichaga

    Hivi kuna tabia ya kabila fulani?

    Wachaga wabahili mnoooo hasa hasa wanaume wabinafi na mabahili
  3. mama wa kichaga

    Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

    Nimeshawaambia wazee pande zote anaelewa kwa muda afu anarud pale pale amenichosha kabisa
  4. mama wa kichaga

    Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

    Whats bad na kibaya kabisa investments nimefanya mm mwenyewe ata kabla cjapata ajira aisee kabadilika yan tuongee stori nyingine sio pesa
  5. mama wa kichaga

    Mchumba wangu ni mbinafsi na bahili sana

    Habari wana jamii, Mimi ni msichana wa miaka 29 naishi Morogoro nafanya kazi katika Taasisi fulani ya fedha nina mchumba ambae tuna mahusiano huu mwaka wa tatu sasa.Tumebarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume bado mdogo, mwenzangu anafanya kazi Dar es salaam. Kikubwa kilichonifanya niombe...
Back
Top Bottom