Recent content by mama Sue

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji msambazaji wa ream papers

    Hellow....ulifanikiwa kupata supplier wa reams....nami nahitaji mmoja...pls
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kununua madaftari, kalamu na ream papers toka kiwandani

    Ndugu ulifanikiwa? Maana Nina shida km yako....naomba unijuze pls
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sabuni ya jamaa na Tanzania ya viwanda

    Thread nzuri sana hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya kitu kama cha MAK JUICE mkoani

    Zanana juice insta....wanafanya km Mac juice tofauti yao ni aina ya package na wafanyakazi wao wana sare nzuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya miembe ya kisasa na mitiki?

    Maembe kwanza then mitiki. ..maembe utavuna kila mwaka ila mitiki Sina uhakika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sabuni za mawingu zinapatikana

    Yapi? Matumizi ya kawaida ya sabuni yanayofahamika....kufua..kuosha vyombo..kuogea...nk
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sabuni za mawingu zinapatikana

    Nipo kigoma...0782332176...sabuni carton moja ina miche 20 na inauzwa sh 24000...nipo kigoma. ..njia ya Dar na Mwanza natuma Kwa Gari za mizigo kwa gharama nafuu ya mteja..karibuni sana...uaminifu ni nguzo ktk kazi ...sabuni haziwashi..zina harufu nzuri na zafaa kwa matumizi yote ya nyumbani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu ya kuweka Tsh 20,000 kila siku

    Hongera sana ndugu...nimependa idea yako
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

    Ukishachukua mkopo uhame kabisa Ila wakikupata watakushtaki hata km una mafao. ..umevunja mkataba
  10. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Sabuni za miche kwa bei ya jumla

    karibuni sana...Sabuni nzuri zipo kwa bei poa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Sabuni za miche kwa bei ya jumla

  12. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Sabuni za miche kwa bei ya jumla

  13. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Sabuni za miche kwa bei ya jumla

  14. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Sabuni za miche kwa bei ya jumla

    Habari...karibu sabuni za miche kwa bei ya jumla ..carton yenye miche 20 kwa sh..24000.. Sabuni ni nzuri..hazichubui. .zina povu na huondoa uchafu haraka..pia ina harufu iliyotuliaaaaa. ..niko kigoma na nakutumia popote usafiri wa moja kwa moja unapofika ambapo utachangia nauli....njia ya...
Back
Top Bottom