Stephano mulungu
Member
- Dec 13, 2017
- 14
- 3
Kopa af endelea na kazi wakati ukiendelea kuijenga business yako part time. Mpaka uwe na cash flow ndio uache kazi. Maana utakua umesha Pata mwajili mpya (biashara)
Mkuu ama kweli vyuma vimekaza, yaani uache kazi kwa ajili ya 5 m? Shame on you dude! Lakini mmeshauri kama vyuma vimekaza wekeni grease!Kuna opportunity nimeiona mahali.
Nishaifanyia intensive analysis na kuona potential yake (actually I want to take a Risk)
Tatizo nakosa vitu viwili, muda na mtaji. Ni muajiriwa serikalini na mtaji wangu bado mdogo.
Nimefikiria nichukue Mkopo taasisi yoyote ya fedha (kwa kigezo kuwa watakua wananikata kwenye mshahara) kisha niwekeze resource zote kwenye hiyo opportunity.
Pasingekua na figisu kwenye Mifuko ya pension ningeacha Kazi kisha nikachukua mafao yangu (kwa sasa yamefika almost 6 Milioni) nikatembea mbele kiroho safi.
Wakuu wangu nishaurini:
Nikisema nichukue mkopo paaap kwa kutumia ajira yangu (Mkopo nahitaji ni 5 Milioni tu) then niache kazi next month Je watanitafuta wanikamate wanipeleke mahakamani ama Makato yao watachukua kwenye Pension Fund yangu na hawatashughulika namie.
Hivi unapoacha kazi mwajiri akakuta unadaiwa Mkopo na taasisi ya fedha inakuaje hapo.
Mdogo wenu CCNP
Million tano tu ukimbie kazi kwa thread yako ulisema wewe ni engeneer tena ulisajiliwa na board sasa mbona mshahara wako utakuwa sio mbaya na kukopa million tano ni ndogo kiongozi.
Je kwenye forex ulikuwa unapiga bei gani baba maana uliisifia saana.
Mzee wa BitcoinKuna opportunity nimeiona mahali.
Nishaifanyia intensive analysis na kuona potential yake (actually I want to take a Risk)
Tatizo nakosa vitu viwili, muda na mtaji. Ni muajiriwa serikalini na mtaji wangu bado mdogo.
Nimefikiria nichukue Mkopo taasisi yoyote ya fedha (kwa kigezo kuwa watakua wananikata kwenye mshahara) kisha niwekeze resource zote kwenye hiyo opportunity.
Pasingekua na figisu kwenye Mifuko ya pension ningeacha Kazi kisha nikachukua mafao yangu (kwa sasa yamefika almost 6 Milioni) nikatembea mbele kiroho safi.
Wakuu wangu nishaurini:
Nikisema nichukue mkopo paaap kwa kutumia ajira yangu (Mkopo nahitaji ni 5 Milioni tu) then niache kazi next month Je watanitafuta wanikamate wanipeleke mahakamani ama Makato yao watachukua kwenye Pension Fund yangu na hawatashughulika namie.
Hivi unapoacha kazi mwajiri akakuta unadaiwa Mkopo na taasisi ya fedha inakuaje hapo.
Mdogo wenu CCNP
Bima Ina secure mkopo mkopaji akifa au akipata ulemavu wa kudumu.Kwa uwelewa wangu Mimi siku izi mikopo mingi inakatiwa bima b4 ujachkua so kazi ya ile bima ndo kwene mambo km hayo,, so taasisi itafta kampuni ya bima pale ambapo mlipaji amepotea mitinii,,, ninajaribu kuwaza
Anataka kukopa kisha aache kazi awekeze huko....Mzee wa Bitcoin
mambie ataishia jelaAnataka kukopa kisha aache kazi awekeze huko....
Anajiona mjanjawatakata kwenye mafao.. maana muajiri anakudhamini kwa njia ya mafao yako
Hima fanya hivyo ila jitayarisha kuishi na kulishwa na serikali bure bila gharama yoyote.Kuna opportunity nimeiona mahali.