Recent content by Mama Namnyak

  1. Mama Namnyak

    'Alligator pepper' na 'bay leaves' kwa Kiswahili zinaitwaje?

    Hi nami nahitaji mbeya sehemu gani
  2. Mama Namnyak

    Car4Sale Nissan patrol for sale - Arusha

    Nissan Patrol for sale for an expatriate who left. -Body type- Station wagon -Year of manufacture 1,999 -Fuel used - Diesel -Colour -Grey Beige -All services were done regularly - Price - negotiable -Engine capacity -4169 -Transmission- Manual ASKING PRICE USD 8000
  3. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    Asante kwa kuniambia nilikua silijui hilo.. niko mkoani
  4. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    ndio maana nimesema bei ni Negotiable. that is just asking price
  5. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    asante nimelijua hilo
  6. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    Beii cha kibaha nauza 15Million na cha Chanika nauza 12Million. ila bei maelewano tunaweza kupunguziana.
  7. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    Tafadhali naomba tuwasiliane kwenye no zangu. Bei maelewano cha chanika ndio wanapima kwa sasa na Kibaha ndio wako kwenye mchakato wa kuvipima.
  8. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    pole kumbe kibaha sio Dar es salaam?
  9. Mama Namnyak

    Plot4Sale viwanja vinauzwa Dar es salaam.

    Viwanja vinauzwa Dar es salaam. kiwanja kiko Kibaha picha ya ndege. kuna maji na umeme. kina ukubwa wa Acre moja. kingine kiko Chanika Acre moja na robo. Bei maelewano kwa mawasiliano tafadhali nipigie kwa number hii hapa. +25578661133+255759221662/+255767510223
  10. Mama Namnyak

    Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

    wanaume ndio wanatufanya tuwe na roho ngumu sana. mimi nilikua na mume kwa miaka 15 nilivumilia mengi hayavumiliki. alinitesa sana psychological kidogo nibebe makopo barabarani. the moment i said enough. sijawahi kurudi nyuma. sijawahi muwazia wala kumiss. nasonga mbele na maisha yangu. mwaka wa...
  11. Mama Namnyak

    Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

    kweli kabisa na tukishachoka haturudi nyuma...
Back
Top Bottom