Dha, kwanza una roho mbaya. Usitegemee baraka katika hiyo ndoa. Huyo mtoto kakukosea nini mpaka umemtenganisha na mama yake. Hivi ungefanyiwa hivyo, ungejusikiaje?. Ngoja nikwambie ukweli huyo mwanamke ni mskivu lakini Si mama mwemwa. Na baraka ambazo ungepata kwa kulea huyo mtoto na kuishi naye...
Dha, umenigusa sana. Mimi ni mwanamke submissive na kwa kipato Nipo vizuri mno. Nilimuheshimu sana ex wangu mpaka na magoti kwa heshima zote. Kumbe yeye akaniona zamwamwa [emoji28][emoji28] alikuwa ananidharau, kunitukana etc . Nilipochoka hakuamini aliyoyapata. Tujifunze kuto take people for...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hizi hasira zako juu ya masingle mothers nauhakika wewe ni maskini sana. Si wa fikra tu bali hata kipato [emoji23]. I am very sorry unahiyo mentality. Namuonea huruma mama aliyekuzaa. Katuletea tatizo zaidi ya Corona.
Comments kama hizi mwaka 2022 ni aibu sana. Hivi hujui kuna wanaume wakatili, wanazalisha na kukimbia? Hujui kuna wanaume wanapiga? Hujui kuna kuachwa kwa ajili ya uzinzi? Kwahiyo hao wanawake hawana nafasi ya pili ya kupendwa? Jesus, I am very disappointed. Comments au thread za namna hii ni za...
Mimi ni mwanamke na ulichoandika hapa ni ukweli 100%. Mwanaume asipo nitreat kama ulivyoelezea hapo, Mimi huwa simtaki kabisa. Mwanaume unapaswa kuwa msweet na pia principled na mwenye authority. I can stand proudly and introduce you to my people.
Ni mapepo tu. lakini tusijipe moyo, wanaume wa siku hizi wazembe kitandani. Sio kuingiza na kuchomoa tu, hisia huja kwa romance pia. Na wanaume siku hizi ni vichomi, anachepuka na kukuumiza mpaka hisia zinapotea.
You are a very stupid man, yaani you are an idiot. You are a disgrace to humanity, I just can’t find better words to describe you. Ni hivi hufai kuwa mume wala baba. Shenzi wewe.
Umekosea sana, hata kama wewe ni baba hupaswi kumpiga mfanyakazi wako. Huyo sio mwanao, ukimchoka rudisha kwao. Ni wakati mwafaka wa kuweka sheria kulinda wadada wa kazi. You are wrong and you must apologise.
Hata kama kosa ni lake ila sasa wewe ndo mwenye makosa. Hupaswi kumpiga mtu ( mke). Tujifunze kucontrol hasira na kupunguza mfumo dume. Ulivyoona hanyamazi na ukakereka ulipaswa kuondoka mpaka hali itulie. No justification kwenye kupiga, omba msamaha yaishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.