Habari, naitwa Mr. Raymond from TRANSNET LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for PUBLIC RELATIONS OFFICER POST, CV yako ni nzuri nataka kukusaidia upate hii kazi kwa terms zifuatazo, salary ni tshs 1,200,000/= kwa mwezi ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 3...