'Je kuna ukweli wowote kwamba ukifagia nyumba au ofisi jioni na kutoa uchafu nje unakuwa una kimbiza bahati au utajiri?? '
Sidhani. kama ni hivyo wote wanaoishi ghetto wangeongoza kuwa millionea
hapo unasema huna uwezo wa kununua mihogo hata ya buku?Lakini labda buku ya bando unayo.hiyo vocha uliyoingiza kuingia jf si unirushie nikununulie hata mihogo ya 1000/=
:oops: :oops: :eek:
yalishanikuta ndio maana nacheka.nilijaribu wengi nikachoka baadhi yao niliamua tu kuwablock 😂 😂ni miaka nane sasa nishazoea kupigana kivyangu vyangu,siombi wala sikopi kwa mtu niko radhi hata nishindie mihogo ya nazi.Sitaki matatizo ya kujitakia😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.