Ushawahi kuipitia contacts katika simu A mpaka Z usipate wa kumkopa?

Mpauko

R.I.P
Jan 19, 2019
2,323
3,353
Niaje..

Hivi ni shida gani iliwahi kukukumba kiasi kwamba ukaipitia contact yako kuanzia herufi A mpaka herufi Z na bado usipate wa kumkopa pesa? Na je ulichukua maamuzi gani?

Binafsi shida ilikuwa nahitajika mahali na ilikuwa ni muhimu sana safari ya lisaa hivi kwa gari...

Tatizo likaja kwenye nauli sasa niliipitia contact yangu kuanzia A- Z nisipate wa kumwomba hiyo fedha...

Maamuzi niliyofikia ni kutembea kwa mguu tu kisha nimepanga kuokoteza magari binafsi na ya mizigo hadi kieleweke......

Vipi kwa upande wako ni changamoto gani ilikukuta hadi ukaimaliza phonebook bila mafanikio?

Ni hatua gani uliichukua?
Screenshot_2019-07-11-23-12-45.jpeg
 
Niaje..

Hivi ni shida gani iliwahi kukukumba kiasi kwamba ukaipitia contact yako kuanzia herufi A mpaka herufi Z na bado usipate wa kumkopa pesa? Na je ulichukua maamuzi gani?

Binafsi shida ilikuwa nahitajika mahali na ilikuwa ni muhimu sana safari ya lisaa hivi kwa gari...

Tatizo likaja kwenye nauli sasa niliipitia contact yangu kuanzia A- Z nisipate wa kumwomba hiyo fedha...

Maamuzi niliyofikia ni kutembea kwa mguu tu kisha nimepanga kuokoteza magari binafsi na ya mizigo hadi kieleweke......

Vipi kwa upande wako ni changamoto gani ilikukuta hadi ukaimaliza phonebook bila mafanikio?

Ni hatua gani uliichukua? View attachment 1151593
😂😂😂😂😂😂😂😂🤜🤛
 
Wewe ni yupi hapo kati ya hao wawili.
 
Wataalamu wanakwambia kama una shida ya pesa na ukapiga simu 3 na shida yako haijatatulika basi inabidi ubadiri cycle ya marafiki...hawakufai hao..

Ingekuwa ni mimi ningefomart phonebook yote nianze upya...maana haiwezekani majina 100+ ya phonebook hakuna hata 1 anayekuamini kukukopa hata elf 20.. na wewe unaona hao jamaa wanastahili kuendelea kuwa kwenye simu yako
 
Hahahah...Yaani unacheki Contact yote unaona empty! Huwa ni balaa...hhahah

Yani unajikuta umekata tamaa kabisa
 
aisee upo sahihi kabisa, maisha yanatufundisha yupi wa kwenda nae na yupi wa kumwacha

Back
Top Bottom