Recent content by Mama Ashrat

  1. M

    JF Udaku: Toleo la Mei 2012

    ndetichia, nimefurahi tu mwenzangu.
  2. M

    JF Udaku: Toleo la Mei 2012

    Jamani wewe usije ukanletea balaa,baba Ashrat wangu yupo humu humu. Hapana Smile, labda unifafanulie kidogo maana pengine jina ndo silipati.
  3. M

    JF Udaku: Toleo la Mei 2012

    Heheheheeh!!Aisee.
  4. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Sure!! Nikiwa kwenye mizunguko nikaona kitu kizuri kinachomfaa namnunulia, sirudi baadae kumwambia "naomba unirudishie kiasi fulani cha pesa" though wapo wanaoishi hivyo. Yani he is mine and i'm his, kwakua kila mmoja anampenda na kumjali mwenzake hatuoni tabu kusaidiana majukumu yetu kila...
  5. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Chauro rafiki it takes a lot to make a home with someone, sema wengine bado wanadhani nyumba ikishawekwa furniture basi it's a home. Live your life the way you and your partner wants to, ya wanadamu waachie wenyewe maana ukisema uwasikilize unaweza ukaishia kuchanganyikiwa.
  6. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Ya kizamani au ya kishamba? Dunia ya leo bado watu wanafikiria kukandamizana na kukomoana na wenzi wao. No wonder wengine hizo ndoa wanaziona chungu kuliko.
  7. M

    Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

    Mtu mwenyewe kazi kuharibu majina ya watu. Ngoja nkalale zangu mie!!
  8. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Acha dharau wewe!! Wewe ndio sio mwanaume kamili maana you have to work extra hard to prove that you are, my man doesn't need all that!!
  9. M

    Mvuto!!!

    ridhiwani gamba Hahahahaha!!!Kaaazi kweli kweli, it does make sense though.
  10. M

    Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

    Wakunimiss ni baba Ashrat pekee!!!
  11. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Nampikia ananipikia, namfulia ananifulia, ananipa moyo nampa moyo, ananipenda nampenda, ananipa raha nampa raha n.k Hatuishi kama washindani sie!!
  12. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Sijaona kitakacholeta furaha hapo. Ila wapo wanawake wanaoridhika na wanaume wenye mawazo kama hayo so good luck to y'all.
  13. M

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Sijaona cha maana hapo. Hayo sio maisha ya ndoa/mahusiano yenye mapenzi ndani yake. Mtu unajikomoa wewe ili kumkomesha mwanamke unaejidai unampenda ili iweje?! Ukishaingiza kukomeshana na kukomoana kwenye mahusiano yako jua hamna kitu hapo, yani you might aswell just call it a quit. WORTHLESS!!!
  14. M

    Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

    Hhhhmmm. . waniitia nini?! Hehehehe! Kesi kama hizi sisi tunaogopa sana aisee kwahiyo usishangae tukikaa kimya!!
Back
Top Bottom