Recent content by MAMA ADRIAN

  1. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji Arusha imejaa uozo, mamlaka husika ichunguze

    Ni kweli mie walishanipiga 20,000/- wabadilishwe waletwe watumishi wenye hofu ya Mungu na wachapakazi. Magufuli mulika hao watu wanaabisha serikali yako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Ndio, Chakufanya unawasiliana na chuo ulichopata transfer wanakutumia joining instruction then unalipia direct cost then unariport.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli wa Tanzania ndio wanaongoza kwa salamu Duniani?

    Ni gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana KCMC

    vp ada ya medicine doctor imepanda au ni hiyohiyo inayoonekata kwenye tcu guide book 3,100,000/-?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Sheria ichukue mkondo wake, huyo mtoto asaidiwe nguvu ya pesa isiwe sababu ya kumnyanyasa kijinsia mtoto mdogo kama huyo. Hivi huyu si ni alhaji ndocho alichoendea macca kujifunza ubakaji? waislam mko wapi katika kumtenga fedhuli huyu ameiabisha dini anastahili kutengwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ambulance na Chopa za CHADEMA bado azijafika kutoka Uingereza au ilikuwa usanii wa Lema

    kwa kuwa jk ndo rais wa nchi atimize ahadi zake alizotoa zaidi ya mia tatu ndipo lema naye atimize
  7. M

    JamiiForums Tanzania Game on - CCM kukata rufaa ushindi wa Lema

    Haki imeamua ni mkono wa Mungu dhidi ya madhalimu
Back
Top Bottom