Recent content by mama 2

  1. M

    Askofu wa KKKT kanda ya kaskazini Dr Laizer amtambua Meya wa Jiji la Arusha

    jamani huyo Laizer mwenyewe anatakiwa astaafu aachie Askofu mwingine tena aongeze Dayosisi Arusha na yeye anangangania kama CCM kwaiyo kumtambua kwake meya hatuoni ajabu nikiwa kama mluteri tumechoka na wewe lazer nivizuri ukastaff sasa wakati umefika
  2. M

    CHADEMA mambo ya meya wa Arusha inatosha, shughulikieni masuala ya kitaifa sasa

    achaizo wewe huyo meya ni baba yako unavyomtetea atatoka tu
  3. M

    Kilichotokea Arusha katika picha

    makamanda tupo pamoja na Mungu yuko juu yetu anatupigania tusiogope
  4. M

    Taarifa kwa umma toka kwa Lema (MB), apinga jeshi la polisi kutumiwa kisiasa

    Wewe fredrick sanga kama na wewe unataka kwenda mahakamani nenda siyo useme watu hawana kazi ndiyo wamekwenda au vijana wavijiweni unajiona wewe unakazi nzuri sana kama nikazi niyako jaribu kuwa unaongea point ndiyo maana hueleweki. Jinsi ambavyo unakiri muheshimiwa amepita kwa kura nyingi...
  5. M

    Taarifa kwa umma toka kwa Lema (MB), apinga jeshi la polisi kutumiwa kisiasa

    wewe Fredrick Sanga naona umetumwa achakuongea upupu wewe hata wewe kodisha izo pikipiki kwanza kama unakaa arusha hustaili hama
  6. M

    Taarifa kwa umma toka kwa Lema (MB), apinga jeshi la polisi kutumiwa kisiasa

    Mheshimiwa huyo OCD asikubabaishe tunasonga mbele wafanye wafanyavyo iyo ni trela wasubiri 2015 waone picha
Back
Top Bottom