Taarifa kwa umma toka kwa Lema (MB), apinga jeshi la polisi kutumiwa kisiasa

wewe Fredrick Sanga naona umetumwa achakuongea upupu wewe hata wewe kodisha izo pikipiki kwanza kama unakaa arusha hustaili hama
 
Wewe fredrick sanga kama na wewe unataka kwenda mahakamani nenda siyo useme watu hawana kazi ndiyo wamekwenda au vijana wavijiweni unajiona wewe unakazi nzuri sana kama nikazi niyako jaribu kuwa unaongea point ndiyo maana hueleweki.

Jinsi ambavyo unakiri muheshimiwa amepita kwa kura nyingi ndivyo 2015 atapita zaidi alizopata kwakipindi iki usimchukie mtu bila sababu. usiseme watu hawana akili wewe ndiye auna akili ebu jiangalie kwanza akili yako ndiyo useme ya watu
 
Naona mmefanikiwa kumpaisha tena lema, anapandishwa tena kizimbani eti kwa kuytembea kwa miguu kutoka mahakamni kuelekea kwa office. Eti kaandamana bila kibali
 
Go lema......god is with you all the way all the time...............we are behind you and the whole chadema...
 
If steps are not in advance and so quickly Arusha will soon devop into a battle ground!!In the past (I dont know ) Arusha wa used to be called Geneve of Africa!! But may be if measures are not taken it will be soon cossovo of Africa,..

Jamani hebu kila mtu atimize wjibu wake kwa mujibu wa sheria ., polisi weka usalama , mbunge himiza maendeleo na wananchi tufanye kazi kwa bidiii!

I LOVE ARUSHA I DONT WANT TO SEE IT BEEN RUINED!

Arusha na sehemu nyingine za nchi zilikuwa zimetulia kwa kuwa watu walitulia wakifikiri mambo yatabadilika mbele ya safari na ccm wakawafanya wananchi ni wajinga na wasiofikiri, sasa Chadema wanatoa elimu ya uraia bure na watu wanaanza kuelewa nini maana ya democrasia ya kweli na wanaanza kudai haki na ndipo ccm waona nchi imekuwa na vurugu.

Bila haki kutendeka Vurugu haitaaka iepukike katika ardhi ya Tanganyika, naomba vyombo vya usalama vijifunze kwa wenzetu, hizi sio zama za ccm ni zama za vyama vingi na lolote linaweza tokea ikiwa tu wananchi wameamua na kama sasa wananchi wanataka kuiweka ccm pembeni wewe polisi ni nani uzuie hilo kutokea?,

Polisi jaribuni kufanya kazi yenu ya ulinzi wa raia na mali zao, wewe OCD mzima unatunishiana misuri na Mbunge ambaye ni changuo la wananchi kweli unatumia akili kufikiri? Pambana na majambazi yanayowanyang'anya wananchi mali zao na kuwakosesha usingizi hapo tutakuona kweli wewe kidume, pia kumbukeni hakuna mtu alizaliwa ili aitawale nchi hii, so ccm sio lazima ndio wawe chama tawala, inaweza ikawa hata UDP, na kwa mtazamo na mwelekeo Chadema ni chaguo la wananchi kwa kuipumzisha ccm.
 
Mkuu Ciril mifano yako na mifano ya Lema ni vitu viwili tofauti.Nakubali kweli kuna wakati polisi wanakiuka misingi ya kazi zao lakini katika suala la Lema Polisi wako right kabisa.

Punguza timbwili la kumchukia mbunge wa Arusha mwaka unaisha baado unawaza na kumnywa lema,hapa jamvini ukionekana nikuja kutoa ushuhuda jinsi Lema asivyofaa,umezidi chuki mwanaume mzima utafikili katikati ya miguu yako hakuna na ni nihii duh
 
Yaani wewe ndio unachekesha kweli unatolea mifano hao watu makini na mwizi wa magari?

Ni sawa sawa kulinganisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta

Hata kama ulipwe fedha sawa na mlima meru ukweli ni kwamba propaganda za kwamba Lema mwizi zinaishia kwenye magego yako,tumechoka na watanzania wajinga wanaobariki Polisi kunyanyasa kuua na kuzika watazania kwa manufaa ya watawala
 
Hivi kweli watu 5,600 Lema anataka waende mahakamani wakafanyaje? kweli hizi akili za kunguru sijawai kuona toka nianze kufuatilia kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa mbunge sijawai kusikia mbunge akiwataka waliompigia kura waende mahakamani..

yaani watu waache kazi zao wakashinde mahakamani, anajuaje kama wote waliompigia kura ni Chadema?

Uwe unafikiri kidogo kabla ya kuandika, yaani hapa unajizalilisha jinsi ulivyo mtupu kichwani, Lema hajamtaka yeyote aende mahakani ametoa mfano kwamba kwenye kesi yake wakija 10% ya waliompigia kura ni wengi sana na polisi wasiotumia akili wanaweza kufikiri watu wanaandamana badala ya kuelewa kwamba ni watu wengi walikuwa mahakani na sasa wanarudi kwao, ni kama juzi wakati Yanga anamfunga Simba kwa nini polisi hawakufikiri watu wanaandamana na kuwapiga marungu na mibomu? maana walikuwa wengi! sasa utashi gani unawaeleza polisi kwamba watu hawa wanaandamana na wataleta fujo na hawa wanatembea kwa amani kurudi nyumbani baada ya kuhudhuria kwenye tukio flani,

Kifupi Polisi sasa wafikiri kwa kutumia akili na sio kutumiwa na ccm.
 
Serikali ya CCM ina laana,dhuruma hii wanayoifanya ipo siku yatawakuta kama ya GADDAF na vibaraka wake.
 
nathani bado hawatambui ya kuwa "INJUSTICE ANYWHERE IS A THREAT TO JUSTICE EVERYWHERE"

Its A tough Call but ndio hali halisi mpaka waje kujua au kutambua hayo maneno yako na kuyaelewa itakuwa imekula kwao mazima hawajui Impact yake ni umbali gani kuirudisha ikisha tokea hadi ifike 0 tena mmmmh ndio yale ya Gaddafi alijua kabisa jambo fulani laja ila kiburi kilimpoza akadhani kuto washirikisha wananchi kufahamu mambo ya kijeshi ndio ataweza tawala siku zote siku ilipo badirika hali ya hewa hakuamini watu walijifunza mtutu mbele kwa mbele na wakafanikiwa haikuisha mwaka Gaddafi chali ndio ije kuwa hapa TZ wata wanajua kumiliki siraha jamani mbona Police wanachochoa kabisa machafuko haya na Baadae serikali kusingizia Raia kwani bila kuwapa haki hawa rais ndipo unawalazimisha waidai haki yao kwa hali yoyote ile.

My Take;
Hii kesi ni kutaka kumwonyesha Lema kuwa police wana nguvu huku nyuma police wakipewa kiburi na wakubwa wakisahau nguvu ya raia ni kubwa zaidi sasa siku ikinyanyuka na ikatokea kweli ntakuwa shahidi No: Mahakama za ICC kwa viongozi wote wa serikali hiii.

Kwani viongozi wengi wa nchi hii hawajui kulinda na kuitunza amani bali wao ndio wakwanza kuwavuruga amani pale anaambia sivyo yeye anahalalisha iwe ndivyo kwa kuvunja sheria ya nchi kwa kulazimisha wananchi wakubali kwa ajili ya kulinda masirahi yao
 
Aseee!!
Very touching, sijui polisi wanapata wapi jeuri namna hii...wanajitoa fahamu kama vile wao sio binadamu.
Itafika wakati magari wanayotumia hawa viongozi yatachukuliwa na watalazimika kutembea kwa miguu kama wapiga kura.

that day will come, soon or later.
........jeuri hii wanaipata ccm
 
Back
Top Bottom