Recent content by Malunde-Malundi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tutafanya kosa kubwa kutomtilia mashaka Zitto Kabwe kuliko, makosa ya kumtilia shaka

    Ni liability. Ndio hasara ya kutojua kesho. Laitibkm ingekuwa hivyo zitto asingepewa unaibu katibu amefail ofisi yake imekuwa ya facebook na twitter. Ninesoma nae udsm nilimwamini sana na nimehangaika sana pale alipopata misukosuko lakini sasa.....
  2. M

    JamiiForums Tanzania East Africa: EA Single Tourist Visa Announced At World Travel Market in London

    Tinaongea bila maandalizi kisera za elimu biashara uchumi na mikataba. Kote serikali ipoipo tu haiwaandai watu wanasingizia ardhi hamna lolote hata uzalendo uzalendo gani bila wajibu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania East Africa: EA Single Tourist Visa Announced At World Travel Market in London

    Ben we are loser on this sababu ya ugoigoi wa serikali kwa kipindi kirefu swala la ardhi linatumiwa na serikali kama kigezo kukwepa kukubali ugoigoi wetu ila serikali goigoi haikosi sababu za kujiegemeza ndio maana tunasingizia ardhi kila siku
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Hii statement inatakiwa ichukuliwe na katibu mkuu na ku act accordingly hamna hajs ys kupaka rangi. Flow is successful if implenented AS IS.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sitakaa nione fahari kusifiwa na Chama cha Mapinduzi

    Thanks rose. Hakika mabandiko yako yanabariki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

    Sema utahama na ili uhame lazimabuyhibitishe kwelu mkazi au maneno tubmaana sisi wakazi wa chadema tunaona sawa tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mbunge Lema na Amani Golugwa yaingiliwa

    Vita iliyo mbele ni kubwa lazima kuvuka vikwazo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA Yazidi Kujiimarisha Mitaani

    Hii inatupa moyo sisi watiifubkwa taifabjili ambao tusingependa kuona kuzazi chetu kinakuja kulaumiwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Wanatudanganya kuhusu Katiba

    Huwa hujui kila hatua na mambo yake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afuate ushauri wa Dr Kitila Mkumbo kuhusu Katiba Mpya na kufunika mengi la sivyo...

    Vuguvugu yaani moto na baridi pamoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi juu ya Katiba Mpya - Sept 21, 2013

    Insight news, red brigade na blue guard wote wamepatiwa vifaa vya kisasa kunasa matukio yote. Kwa ushirika huu Tanzania itasonga maana chadema wamemwaga technolojia hakuna mfano mengine inaakuwa siri ila tu nishukuru umakiji huu huenda tukawa salama sana tanzania km ccm ikiondoka maana these...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Katibu wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati hapa Arusha afariki Dunia

    Rip kamanda. Tuliobaki tutaendeleza vita ya dhuluma
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri, Media yetu iache Kupiga ' Ngoma Ya Vita'...

    Mtanzania wako wameshadadia ugomvi na rwanda sana utafikiri tuna silaha ukiacha za gongolamboto
Back
Top Bottom