Recent content by malu

  1. M

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Huyu ndiye mtoto wa mkulima tuliemtegemea kuwakomboa wanyonge?
  2. M

    Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    Polisi acheni ushabiki wa kisiasa, waachieni akina Mbowe mkachukue ushahidi kwa akina Nape /Mwigulu Nchemba . Mbona akina Nchemba hawajakamatwa na Video ya Lwakatare?
  3. M

    Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

    CCM hawana uchungu na wapiga kura wao hata bungeni hawatuthamini kabisa wananchi wapo kwa masilahi yao binafsi na hata wanapo ua kwa sasa wanaona ni kitu cha kawaida. bom la Arusha watakuwa wamehusika kwa asilimia mia kwanza wameshafulia ila hawataki kukubali ukweli sasa wanatumia nguvu...
  4. M

    Spika Makinda aburuza Bunge; aahirisha Bunge hadi kesho...

    u ccm umezidi bungeni
  5. M

    Ni lini Mwl Salma Kikwete alitolewa katika Payroll ya Serikali (HAZINA)?

    Huu ni uzembe wa utawala wetu kutokuwa makini katika mapato na matumizi ya nchi. Wanafuatilia mambo madogo madogo na kuacha makubwa yanayoingizia taifa hasara.
  6. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Taarifa Hii ya LEMA kuvuliwa Ubunge inasikitisha, Sababu hasa nini maana sikuwa nafuatilia Kesi yake. Hata hivyo hizi chaguzi mbona zinagharimu Taifa fedha nyingi! Kwani ni fedha za walipa kodi. Je uchumi wetu utakuwa kwa jinsi hii?:fear:
Back
Top Bottom