Recent content by Mallya5

  1. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyo myahudi kaingia madarakani mwaka gani unaambiwa Nazi wameanza kunolewa 2004 kwa dhumuli la kudhoofisha Russia Sent from my CPH1931 using JamiiForums mobile app
  2. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

    apige washinton dc kwani yeye kapigwa teheran Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Sio New York jamani. Ni Convetion Center ndani ya Kigali

    Rusumo ipo mpaka ya 5000 unaenda kigali mkuu
  4. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kaka haupo sahihi nadhani hujawahi kufika tunduma pekee ungetulia kimya usingesema ulichosema
  5. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    We jamaa umejibu kwa akili nyingi sana kama ni muelewa ataelewa tu
  6. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta dereva wa lori la mafuta lililopata ajali Morogoro

    Du aisee umewaza mbali sana upo sahihi mkuu lakini kama walikata na kisu pia nayo itachanganya
  7. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Hali ya hatari barabara ya Rusumo Rusahunga ni suala la muda tu sasa

    Ndugu yangu usiombe uwe na gari yenye terias mbele hiyo njia utakumbuka mizimu yenu
  8. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Marekani kupitia Waziri Pompeo yaionya Uturuki isizitumie silaha kutoka urusi s400 la sivyo vikwazo zaidi vitaihusu

    Elimu murua kabisa mtaalamu nipo hapa kuchota madini
  9. Mallya5

    JamiiForums Tanzania South Sudan yaondoa visa kwa Watanzania wanaosafiri huko

    Unapita uganda pekee unatoboa
  10. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilikata tamaa na CCM

    Ngoja niwahi siti ya mbele
  11. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutana na wanyama wakali tukutane hapa!!

    Nimeishia kuona simba mikumi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mallya5

    JamiiForums Tanzania VITA BARIDI YA PILI?

    Ngoja nisubiri wachambuzi nimeze madini Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mallya5

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wameanza fyokofyoko DR Congo

    Mabeberu mengi huwa wanayahasi kabila keshayakeketa yote hayana sumu tena Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom