Recent content by Maliwaza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Lutheran!!Kweli Wakristo ni wana kondoo!

    Inawezekana hawa wenzenu walishajiandaa kama wahutu na watusi huko ukashtukia manga tu yanatembea nyie mnasubiri kugeuza shavu la pili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wanafanya fujo,Sheikh Ponda na Sheikh Farid ni harmless religious fanatics

    Hivi ulikuwa unataka kufikisha ujumbe gani haswa?? get you brain checked a..h..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani mdini namba moja, ni nani alaumiwe katika hali hii-tutafakari sana!

    Kweli watanzania tunasikitisha, tangu lini tunachaguana katika nyadhifa au kupeana ajira kwa kutumia kigezo cha udini? kigezo kinachotumika ni elimu na uwezo; tukubali tu waislamu wengi hatukusoma mapema ndio maana utawala wa nyerere ukawa na wakristo wengi. Sasa cha kufanya sio kuchoma...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya

    Unakuwaje na uhakika kuwa Rostam alikuwa RSA wakati passport yake haionyeshi stamp ya kuingia wala kutoka Republic of South Africa? Labda unaweza kutuelimisha katika hili maana unaonekana unajua mambo mengi, inawezekana watu wanaopitia VIP lounges hawafuati utaratibu tunaofuata sisi walalahoi...
Back
Top Bottom