Lakini Kwanini nchi za magharibi huwa haziwezi kustahamili kuona nchi za Africa zikitekeleza majukumu yake au Tanzania nayo inakuwa inatoa kauli kama hizi kwa nchi za magharibi?
Kweli boarding kwa mtoto hukengwa na fikra kuwa nipo huru na makatazo ya wazee huwa hayapati na ni wachache wanaoweza kujigomba wenyewe na mtoto mwenye umri huo sirahisi kukuta anajisimamia vizuri katika mambo yake
Ni kweli sana wazee wanahitajika kuwa karibu sana na watoto na hii itasaidia kumuelekeza kwa karibu sana yale yote ambayo angehitaji maelekezo au kujiona anafanya sawa kumbe sivyo ilivyo. Tupendelee kutimiza wajibu kuandaa vizazi vyenye maadili kwa kuhakikisha hatuwanyimi malezi wanayostahiki...
Mzuvendi, I think the people of Tanzania they are not well aware from that offence and what the impact of that. And we are not suppose to look on the deterrent punishment but we should think more on punishment which help the nation to have people know the effect of this.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.