Mnataka muanze kuktupeleka kusikojulikana na kupiga risasi saa 7 chana kama mnawinda pori LA akiba. Sisi huyu anatosha Hadi katiba imkatae acheni mambo ya aajabu. Ingekuwa enzi zile hata wewe kuleta hiki kiuzi ucngejaribu. Kama Mungu ameona anafaa akamteua sisi ni akina nani hadi tukatae. Maana...
Kwanza heshima kubwa kwa Mama Mungu akubariki.
Bei za mazao ya chakula imepanda tena sababu 3 kuu zikitajwa. Moja ni kupanda kwa Bei za mafuta, mbili ni wanunuzi Toka nje na tatu ni uzalishaji mdogo kwa msimu uliopita.
Nianze ya mafuta hii hulaumiwi ipo nje ya uwezo wako. Anaelaumu nae...
Sasa ubaguzi wao uko wapi. Au ndio sijaelewa, wao Zanzibar ni nchi kwa mujibu wa karibu yao na uhalisia wa maisha yao na anaongea mambo ya nchini kwao sato na kambale sio samaki wa asili kwao na kifupi hawatakuwa na wapenz kwann serikali itumie pesa vibaya? Hao kambale na sato kambale kuleni...
Mamaako kijijin anateseka uko bze kununua dhambi, ndio maana vijana wengi wana laana ila hawajijui. Mama Ako angekpa shukran nyingi utadhan we ndo umemzaa na angeendelea kukuombea mafanikio. We endelea kumfuatilia huyo binti kuna Jambo kubwa like nyuma yako usiache kutuletea hapa.
Eti analalamika kaachwa kwa stahili hiyo ya maisha ya hizo picha, hayupo mwanaume mwenye akili timamu wa kumwoa hata kama amemsomesha tangu chekechea sio tu kutoa mahali. Hana dhambi William. Mi naona amemuacha kwa ukaminifu sana kama Yusuf kwenye biblia . Mi ningemkatalia wakati wa kiapo cha...
Well said, ila hata nafas za DC ,RC, manaibu waziri, naibu spika zingine nyingi tu kwa nchi yetu zina umhimu ila sio za lazima zinaweza kuondolewa na nchi nikawa poa tu.
Kwa kweli mleta mada mi sijajua ni utoto au utu uzima uliopitiliza yaan wakulima wanateseka na kupambana na hali ngumu na ghalama kubwa ya mbolea na madawa bila msaada halafu we unaleta ufahamu wako wa kwenye kijiko cha chai wasirusiwe kuuza chakula. Wengine matusi na kudharauliwa huwa mnataka...
Kwa kweli mleta mada mi sijajua ni utoto au utu uzima uliopitiliza yaan wakulima wanateseka na kupambana na hali ngumu na ghalama kubwa ya mbolea na madawa bila msaada halafu we unaleta ufahamu wako wa kwenye kijiko cha chai wasirusiwe kuuza chakula.
Wengine matusi na kudharauliwa huwa mnataka...
Ndugu hakuna wakati ufisadi ulikoma sema tu ulinyimwa taarifa za wazi na wapigaji. Ndio maana uliingia kwenye giza la kuamini kuwa huenda wamekoma kufanya ufisadi. Kupenda uovu ni roho mchafu atokaye kwa baba yao watendao uovu, haikomi kwa Sheria iwayo yoyote ila kwa rehema na neema kutoka kwa...
Nataman hata kutowaamini hawa viongozi wa Dini na madhehebu kwasababu wamegeukia Nebukadneza wamebaki wachache tu amina Daniel, Hanania,Michael na Azaria.
Naijua kuwa ni zamani ila leo nikiwa naitafakar na kwa bahati nzuri Uzi bado juu. Sasa kama ni hivo wakuu wa Dini yake wanaogopa kumwambia kwamba si sawa au ndo uoga wa viongozi wa Dini nyingi uliowakumba tangu awamu ya 5
Kwanza serikali karibia zote ni za mpinga Kristo. Mtawala au serikali yoyote ambayo haijapatikana kwa utaratibu unaompa Mungu wa mbingu na nchi utukufu haitokani na Mungu.
Kutoka 18:21 Zaidi ya hayo utajipatia katika watu hawa watu walio na uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wenye...
Kwahiyo kama mjinga akifanya kitu cha kijinga halafu mwelevu akamuiga nani atalaumiwa. Lugola watu tulimuona ni moja Kati ya vijana wajinga walioitetea posho ya mfalme Nebukadneza ili waishi sasa yeye anatetea nini hadi kumuigamjinga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.