Eneo la kwa Mama John Mbeya liligeuka uwanja wa vita kwa muda jioni baada ya kampeni za CCM kumalizika. Mara baada ya msafara wa Magufuli na viongozi wengine wa CCM kuondoka, gari aina ya Land Cruiser lenye machata ya Sugu 2015 lilipita likisindikizwa na vijana waliokuwa wakishangilia.
Mara...
Of course hilo linajulikana we need him more than anyone.. mtu pekee ambaye angeweza kufanya nijishauri mara mbili kura yangu iende upande gani ni Dr Slaa.
Kama kuna kitu ambacho kilikuwa kikinishangaza wakati wagombea wakizunguka kujinadi kabla ya kura za maoni ilikuwa ni habari kuwa waziri wa maliasili na utalii ambaye ni mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kwamba hakubaliki na alikuwa anazomewa kila alipokuwa akienda. Ilifikia hatua...
Wakuu mkutano unakaribia kuanza na wajumbe wameshaingia ukumbi mpya wa mikutano wakisubiri wajumbe walio kwenye mkutano wa NEC waje na majina matatu. Hii link tayari imeanza kuonyesha
http://livestream.com/CCM/Uchaguzi2015
UPDATE:
Nape ametangaza kuwa Top 3 itasomwa saa tatu usiku na moja...
Nimekutana hii video inamuonyesha dogo anashuka kama mgombea wa CCM kuchukua fomu. Inaonekana kama iko kiucheshi zaidi lakini ni kama vile wahusika wamelenga kufikisha aina fulani ya ujumbe kupitia huyu "dogo jembe". Anaefahamu nini kinaendelea atujuze tafadhali.
Kama huoni mashiko chapa lapa kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano. Uliza viongozi wangapi walishawahi kupata mualiko wa kuhutubia vyuo vikuu vya wenzetu.
Lecture by Hon. Lazaro Nyalandu at the University ofCambridge
The University ofCambridge Wildlife Conservation Society, Kings College,
Cambridge, UK
12/6/2015
It is my special pleasureand honor to join you this evening. Standing before you tonight gives me a senseof pride and purpose...
Someni na hii kuhusu Airtel, 300mb?
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/852854-majanga-ya-airtel-kupunguza-bundles-ni-zaidi-ya-yule-msanii-shilole-kucheza-uchi.html
Inaonekana panga la MB bado halijafika mwisho na kwa mara nyingine tena Airtel wameniangusha kwa kupunguza kiwango cha MB katika vifurushi vyao. Hii ni baada ya kutoa tangazo linaloonyesha mabadiliko kadhaa katika vifurushi vyao.
Mimi binafsi natumia vifurushi vya Yatosha ambapo leo kilipoisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.