Recent content by MALIKITI

  1. M

    Mkopo.

    Pia jaribu African Microfinance 0716-191900
  2. M

    Changamkia Extra cash for daladala owners

    Whitedent wanalipa Tshs. 100,000/= kwa mwezi, ongeza dau utangaze biashara yako
  3. M

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Hali inatia wasiwasi zaidi mjini Liwale usiku, nyumba ya mbunge nae imetiwa moto, kila kona ni mabomu; habari zaidi nitawapasha
  4. M

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Hali hii inaendelea mpaka muda huu, Liwale Mjini. Chanzo cha tukio ni kutolewa kwa malipo ya pili, sh. 200/= tofauti na risiti ya madai ya sh. 600/= ndipo kasheshe imeanza hapo kijijini Liwale B, vurugu za mabomu zimehamia Liwale mjini. Kesho vurugu itakuwa kubwa kwani ni siku ya malipo mjini...
  5. M

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Habari za uhakika kutoka Liwale mkoani Lindi ni kwamba wananchi wameingia mitaani kudai pesa za malipo ya pili ya korosho. Polisi wameamua kujibu kwa kutumia mabomu, hali ni mbaya! Wananchi wamechoka kusubiri ahadi zisizo za ukweli tangu mwezi wa 10, 2012 hadi hii leo hawajalipwa pesa za awamu...
  6. M

    TANZIA: Meja Jenerali Makame Rashid afariki dunia

    Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.
  7. M

    Msange JKT 823 KJ - Nimekwenda salama, nimerudi salama

    Hapa umenikuna kwa kufikisha ukweli kwa watu wanaokurupuka toka usingizini na kutoa mawazo mgando. Hongera Mwigulu kwa kumaliza mafunzo ya JKT, jitahidi kumshawishi NAPE nae aende JKT ili apate dozi za uzalendo
  8. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Marehemu Gama alikuwa mbunge wa Songea Mjini akaangushwa na Nchimbi
  9. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Huyo kahamia BABATI pia kaukwaa ubunge
  10. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Chitope, Livigha, Philip Magani, Tatu Ntimizi, Abasi Gulamali, Nasoro Malocho
  11. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Kate Kamba, Abdalah Lutavi, Ray Mrope, Salum Ngajulage
  12. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Athumani Janguo, Albert Nachunga, Gadi Nnayahe, Dr. Alex Harid Mtavala, Hadija Kusaga, Lawrance Gama
  13. M

    Naibu Waziri Elimu katika kashfa vyeti

    Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti. Philipo Augustine Mulugo ndiyo jina lake halisi ambalo alilisomea mpaka alipohitimu...
  14. M

    Josephat Isango, Mhariri wa Habari Tanzania Daima akamatwa na Polisi

    Huu ni uthibitisho wa kuwa tuna serikali legelege haiingii akilini "viongozi wa dini wanadiriki kuonyesha dharau kwa waziri mkuu"
  15. M

    Ridhiwani akanusha kuhusika na tanzania loan society

    Habari zenu, mabibi na mabwana, marafiki zangu wa kwenye mtandao na wale wasio marafiki zangu ambao naamini kwa namna moja au nyengine mtakapo soma habari hii mtaipeleka kwa jamaii inayowazunguka ili kuweka hali vizuri . Maisha ni kuhangaika na kwamba inataka mtu anayefahamu njia sahihi...
Back
Top Bottom