Recent content by Malihoja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Una uthibitihso upi juu ya huowizi unaosema, acheni hizo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Sasa la ajabu ni lipi maneno dhidi ya lowassa hayajaanza leo, yamezoeleka. na hapo ndipo uwezo wa mahasimu wake ulipoishia .. ni kutunga tunga tu maneno
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Mtatunga sana mwaka huu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Narudia tena! Maana kuna watu wanajifanya njuguyugu hawataki kuelewa! ========= Bahati Bukuku hana kosa, ni haki yake kumuimbia na kumsifia Lowassa, Ibara ya 18 ya katiba inamruhusu. Acheni umbea na hoja za kijinga. yani leo kwasababu kamuimbia na kumsifu Lowassa ndio amekosea. Mchungaji Msingwa...
Back
Top Bottom