Recent content by mali ya mtu

  1. M

    Luis Nani Amtafuta "Ubaya" Sir Alex Ferguson

    i cant understand the decision sometimes put forward by manchester United manager for lossing confidence toward luis nani ,to me i could say that is time for change in mind for the manager toward its players for example the young striker of France Obertan ,Nani, Macheda,Tosic to give more time...
  2. M

    Je, unaamini opposition kuingia Ikulu ndiyo suluhu ya matatizo yetu?

    Mimi bado naona hakuna haja ya kukimbilia vyama vya upinzani kwani vyenyewe bado ni vichanga sana na bado havijajikamilisha sawasawa ila mimi nadhani chama tawala kisipojikamilisha sawa itabidi sasa tujaribu upinzani na nina muomba sana muheshimiwa Rais wetu kwenye baraza lake lijalo kama mungu...
  3. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Mimi ninaona sasa nchi inakoelekea ni kubaya. Hivi huyu Waziri tena mwenye jukumu kubwa hapa nchini la utawala bora mbona anaboronga na kupapukia mambo ambayo yakiletwa mbele ya hoja atashindwa kujibu? Hayo maswala kwamba harusi ya Malecela ni kibinafsi zaidi ni kama unayetaka kumvua mtu nguo...
Back
Top Bottom