Natumain wadau mko poa, hebu cheki huu mkasa halafu unisaidie, kwa umri ni above 30,
nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja 2007 tukapanga mipango ya kufunga ndoa lkn hilo likiendelea alikuwa akiishi Moro na mimi hapa dar,
akawa anakuja baada ya muda miezi Minne, akija anakaa wiki anaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.