Recent content by malemba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Safi sana ndugu .mimi nashangaa hawa chadema wanamsapport huyo heche.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Ndio je wameomba kujiunga NSSF na wakakataliwa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Ccm ni chama imara .hakiwezi kuteteleka kwa mambo madogo kama hayo.halafu ccm hawampendi mtu bali wanapenda chama Chao.kuna siku ulifikiri kwamba lowasa angekatwa ccm?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Ukweli gani kauzunumza hapo.je anataka pensheni itoke katika mfuko upi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Mimi nahisi anatumia bangi au pombe kali.maaana kaongea utorojo mtupu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

    Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Mtoa mada ndio yule anayeaminin taifa linalotetea ushoga la israel ni taifa la miungu yao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Kwa hiyo umepoteza muda wako woote kuhesabu hao .je umetumia njia gani kutambua hawa ni wakristo na hawa ni Waislamu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Acha udini huo .
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe Mo Dewji anamlenga nani?

    Nilizani Mangungu ndiye anayelenga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe Mo Dewji anamlenga nani?

    Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa wazi, bali watu wanaoonekana waaminifu huku kwa siri wakipinga misingi ya taasisi hizo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Acha ujinga wewe kwani alivyoongea upumbavu ule alikuwa hajui athari zake?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Heche ndio msaliti wa chadema

    Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu. Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ameonekana kwenye Hitma ya Hafidh Ameir

    Mbona akina Dr silaa,Warioba,TEC,Polepole, hawakumpinga Magufuli? Kila mtu anampinga mtu kwa kutokana na interest zake hakuna unafki hapo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

    Acha chuki za kipumbavu wewe
Back
Top Bottom