Recent content by maleba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Tupeni ushahidi kama mnao la kama Hanna make kimyaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

    Huyu jamaa anataka kutuaminisha kuwa act ni chama cha ukanda kwani chadema wabunge wengi wanatoka wapi kama sio moshi na arusha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

    Inaonekana Weye uliyeleta hii maada ni bavicha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

    Kwani wewe ulimchagua Nani na mpaka sasa rais ni Nani ,tatizo watanzania tu wavivu Wa kufiriki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

    Nampenda rais Wangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Benchmark yafungiwa na TRA kwa kudaiwa kodi ya bilioni 7

    Hii due, nayanga chonka mie
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    Hivi mnajua walioanzisha IPTL mpaka akizaliwa kitu inaitwa escrow mwanzilishi wake ninani kama sio hao waliokuwa wakiitwa boys 2man?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    Wengine hatuna vyama coz tunafanya mambo zetu nyie mlongangania vyama itakula kwenu,kijana mwenzangu amka sio wakati Wa kulalamika Tulsa ziko nyingi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kila tukisex anawahi kufika kileleni

    Nitafute nikufundishe mbinu mbadara
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

    Mtoa maada hayuko sawa kichwani mwake hats kidogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    Kwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Mzito wa Viongozi wa CHADEMA, Wafanya ziara ya kikazi ya siku 7 nchini Ujerumani

    Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe mpo hapo
Back
Top Bottom