Recent content by malambuka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hili daraja la Dumila hili!

    Hivi mnaijua mvua ama mnaongea tu? c wote wenye magari na nyumba nzuri wamevipata kwa njia icyo halali. Unapo dzn kituj kuna mambo mengi huangaliwa. Mf. Jografia ya eneo husika, uwezo wa daraja lenyewe kupitisha maji na kuhimili kubeba uzito gani.ila kuna muda hutokea mvua hunyesha kupita...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Yakataa Serikali 3

    Nionavyo mm ni heri ya kuwa na serikali 1 yenye nguvu kuliko s. 2 ama 3. Kwann napendekeza s.1 ? Kwanza gharama uendeshaji w s. Zitapungua, Rais 1, wazir mkuu na hata baraza la mawazir litapungua. Nashindwa kuelewa kwann s.1 haikupewa kipaumbele. Unajua kwa serikali 2 lazima kuna upande ktk...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini JK anapinga Katiba Mpya kuweka ukomo wa Ubunge?

    Nawashauri kutotumia lugha za matusi,kila mchangiaji aelezee aliyonayo kichwani mwake itakayoisaidia jamii.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

    je kwa Moshi inapatikana wapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Safisha mwili tumia hizi juisi kwa muda wa siku 7-refreshing body cleanse juice recipe

    nawezaje kuipata juic hii na ni kiasi gani , na natakiwa kuitumia kwa muda gani
Back
Top Bottom