Recent content by Malale JB

  1. M

    Nahitaji nyumba ya kupanga

    Mimi natafuta chumba maeneo ya karb na Mwendokasi, Kiwe self na maji yawepo
  2. M

    House4Rent Natafuta chumba cha kupanga karibu na muhimbili national hospital

    Habari wana jukwaa Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya Kimara, Buguruni, Magomeni au eneo lolote lisilo na Foleni ya Kwenda Muhimbili National Hospital(gari moja) Kiwe kizuri, ikiwezekana na Picha nione, bei isiwe ya kutisha.
  3. M

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Shilling ngapi hii +2speaker ndef zake
  4. M

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Tuma na aina zingine, Epson printer yenye uwezo wa kutoa picha. Na nyingine photocopier pekee iwe nzuri
  5. M

    Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

    Tupe na suluhisho lake
  6. M

    Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

    Ukimaliza kumnyonyesha muwrke begani abeue gesi tumboni itoke
  7. M

    Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

    Nakushauri Jitaidi kunyonyesha maziwa ya mama pekee. Ukimchanganyia vyakula saiv ni mapema mno, Atapata utapiamlo na magonjwa mengine
  8. M

    Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

    Kuhusu kunyonyesha, Maziwa ya mama yapo katika stage 3. Ya mwanzo_yana maji mengi zaidi ya virutubisho ya katikati- yana virutubisho vingi ya mwisho-ni mazito na yana mafuta kwa wingi Mwambie mama amnyonyeshe mtoto hadi maziwa ya mwisho mtoto ayapate ndipo ambadilishie Ziwa la pili Kingine...
  9. M

    Mafuta ya alzeti

    Litre 5 Shi ngapi?
  10. M

    Mafuta ya alzeti

    uko wapi?
  11. M

    EWURA yatangaza bei mpya: Petroli yashuka, diseli yapanda

    Naomba namba ya kupata bei za EWURA kila mkoa kwa njia za SMS
  12. M

    EWURA yatangaza bei mpya: Petroli yashuka, diseli yapanda

    Naomba namba ya kupata bei za EWURA kila mkoa kwa njia za SMS
Back
Top Bottom