Recent content by Malaki

  1. Malaki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gongo la Mboto karibu na Kituo cha Daladala cha Maliasili kuna tatizo la bomba la maji kuvuja sana

    Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo. Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la...
  2. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Tabata kuna nini?

    I
  3. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

    Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze. Mvua zimenyesha sasa imekua kero kubwa sana.
  4. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara mbovu sana kiwanda cha Namela njia ya Ulongoni

    Wametengeneza tayari
  5. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara mbovu sana kiwanda cha Namela njia ya Ulongoni

    Njia ya kuingia kutoka G/mboto kwenda ulingoni kwa Gari ni njia moja tu ambayo hiyo ndo inategemewa na magari makubwa na daladala za kwenda kinyerezi, mbezi.Hii barabara mbovu sana na imekua hivo kwa muda wa miaka 3 sasa na toka walivoondoka wakandarasi waliokua wanajenga reli ya SGR Pale pugu...
  6. Malaki

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Natafuta kioo cha S9 au full cover nyuma na mbele
  7. Malaki

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Charger ya PC MacBook

    weka mawasiliano ninayo
  8. Malaki

    JamiiForums Tanzania Fursa iliyojificha kati kati ya utapeli

    Hasa, makampuni ya kubet yamekua mengi na matangazo radio yamekua kero na hii ya kalynda naona watu sijui wameshapigwa huko twtter wengi naona walijiunga. All in all vijana tuchakalike na tusichague kazi
  9. Malaki

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza blog au tovuti

    Nimeingia nimeona mpaka ni pay kwanza ndo inaendelea na process zingine
  10. Malaki

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu watakokuwa Partnership na NGO

    Wanahitajika watu watakokuwa Partnership na NGO iliyokamilika na usajili kila kitu inahitaji watu wafuatao Progam manager Relationship& marketing manger -mwenye uzoefu na Ngo katika Funds & Sponsors manager 0757666771
  11. Malaki

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nimekutumia no
  12. Malaki

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Imeshuka 164,000 njoo haraka ipo Dar utajaribu kila kitu ndo unalipa yaan hata ukae nayo siku ndo ulipe sawa
  13. Malaki

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Njoo mnipe pesa hii
  14. Malaki

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina simu nyingine ya kutumia laini 2
  15. Malaki

    JamiiForums Tanzania Mwenye shida ya ela ya sikukuu..njoo uniuzie smartphone..kuna 120000 hapa haina kazi

    Ongeza pesa nikupe I phone 6s plus , 16gb 100% battery haina tatizo lolote kwa 190,000 nile pasaka simu ndo hii natumia hapa
Back
Top Bottom