Recent content by Malaika wa Waha

  1. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Sijui kama hii tafiti ni kweli au uongo ila nipo hivyo na kiukweli sijawahi kupata gonjwa lolote la ngono, Kuna kipindi kama Miaka miwili imepita nilishiriki Ngono bila kinga na binti mmoja hivi baada ya siku mbili nikaanza kukojoa Uji uji mweupe kama usaha ila baada ya siku mbili kupita ile...
  2. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Gamondi atema cheche,adai kuna wachezaji wanakesha kitambaa cheupe na uongozi hauwachukulii hatua

    Nafurahi sana Yanga ikiwa na migogoro
  3. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

    Kwani Tanzania kuna Sheria ya prenup ?
  4. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

    Nakazia kwa Spana ya Bus kubwa
  5. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Ubaya Ubwela unaanza kufanya kazi Wachawi wameanza kutafunana
  6. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Yaani masingo maza ni majinga sana, Nasikitika sana hadi kaka yangu wa Damu na yeye kaingia kwenye Mkenge wao naona anataka kulioa kabisa singo maza la 2000, Niludi kwenye ushauri kiufupi inaonekana wewe bado unampenda huyo Ex wako na ipo siku mtaludiana na Ndoa yako itavunjika kwahyo...
  7. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani kwa Sasa unadhani hafai kuendelea kuichezea Yanga?

    Alafu wakishaachwa utatoa Milioni ngapi ili wasajiliwe wengine ? Au wewe kazi yako ni kuweka tu Tako lako kwenye sofa na kutoa Lawama za hapa na pale.
  8. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Timu icheze ikiwa imevua kaptula
  9. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Beki za Yanga leo zimekatwa shanga vibaya sana mi nimependa.
  10. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Hersi Out Gamondi out Hamisa mobeto Out Gsm out Diarra out Aziz ki out Chamazi out Hivyo ni vichwa vya habari zinazotarajiwa kutokea siku za mbeleni kwa mashabiki wa Topolo.
  11. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Napenda sana haya Ma vyura yakiwa yanapitia kipindi kigumu
  12. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Haya sasa Nyuzi za Fatigue na squad rotation zitaanza hivi punde
  13. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Sio tu mate huyu inabidi aende kuvunja Nazi akiwa uchi pale Posta
  14. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Kama kawaida ya Ligi letu anafungwa KMC anaumia Topolo
Back
Top Bottom