Recent content by Malaika Mkuu

  1. Malaika Mkuu

    Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

    Natama i afanye kolabo na kikundi cha MIZENGWE .
  2. Malaika Mkuu

    Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Kama Mkuu wa mkoa ameondoka ni vyema aambatane na msaidizi wake kwenye eneo hilo lilipo soko. Mkuu wa wilaya anabaki vipi hapo?
  3. Malaika Mkuu

    Kamaz truck za Urusi kuwa asemble kule DRC Congo

    Mzee wangu mmoja aliwahi niambia walikua na gari la kirusi likiwekewa mafuta ya taa linapiga gia siku wakaweka ya kupikia likawaka pia
  4. Malaika Mkuu

    Mimi na wewe tunatumia kipi kutoka Urusi?

    Yaani ukiamka asbhi ukala chochote kitokanacho na ngano ni murusi ukiona mazao yamestawi huko vijijini jua mbolea ya mrusi kwa kifupi uhai wako ameushika Maana msosi ndio msingi
  5. Malaika Mkuu

    Mimi na wewe tunatumia kipi kutoka Urusi?

    Russia-Tanzania In 2021, Russia exported $161M to Tanzania. The main products that Russia exported to Tanzania are Wheat ($100M), Nitrogenous Fertilizers ($26.5M), and Semi-Finished Iron ($7.79M). Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
  6. Malaika Mkuu

    Mimi na wewe tunatumia kipi kutoka Urusi?

    Mkate kalimat maandazi chapati ngano ya mrusi Mafuta, mbolea
  7. Malaika Mkuu

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maji hoye
  8. Malaika Mkuu

    Urusi yadai kushinda kura za maoni katika maeneo iliyojichukulia kutoka Ukraine

    REFERENDUMS TO JOIN THE RUSSIAN FEDERATION 2022 Final Results Percentage of the population which votes Yes to joining Russia: [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Donetsk Republic 98.69% Lugansk Republic 98.42% Kherson region 87.05% Zhaporozhye region 93.11%...
  9. Malaika Mkuu

    Ninaapa mbele za Mungu nimeacha pombe na umalaya

    Hongera Mkuu ila umeacha kitu kizuri saana
  10. Malaika Mkuu

    Mtuhumiwa wa mauaji ya Shinzo Abe (aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan) alitengeneza silaha kadhaa za kienyeji nyumbani kwake

    Kujua sio Hoja la msingi alikua na silaha akamuona mtu wake akashoot wasikomplicate
Back
Top Bottom