Urusi yadai kushinda kura za maoni katika maeneo iliyojichukulia kutoka Ukraine

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
My take mm nilijua wao warusi maana ya Ile kura ni kwamba wanataka kuondoka kwa heshima Ukraine.

Kwa maana ya kusema wao wameondoka Ukraine sio kwa sababu vita vimewashinda ila ni kwa sababu wananchi wameamua waondoka kwa njia ya kupiga kura.

=========

Pro-Russian Claims to Have Won Referendum on Ukrainian Territory

Pro-Russian officials in four Russian-occupied Ukrainian territories claim they have won a referendum on a merger with Russia. It is known, Russia plans to annex the occupied territory of Ukraine through a referendum.

The local pollster in the southern Zaporizhzhia region said 93.11 percent of voters voted for Russia’s annexation after all the ballots had been counted. However it is said that this is an early result.

In Kherson, also in the south, authorities said 87.05 percent of voters voted for Russia’s annexation after the vote count was completed.

In the eastern Lugansk region controlled by pro-Russian separatists, 98.42 percent voted for annexation by Russia, Russian news agencies said, citing local authorities.

“It is clear” that Lugansk will return to Russia, Leonid Pasechnik, leader of the self-proclaimed Lugansk People’s Republic, said on Telegram.

In the Donetsk region of eastern Ukraine, the polling agency said 99.23 percent of voters voted for Russia’s annexation after all ballots had been counted, according to news agencies.

Denis Pushilin, leader of the Kremlin-backed separatists in Donetsk, said: “We all wanted this for a very long time”, according to Russia’s state news agency RIA Novosti.

He welcomed what he called a “colossal” result, saying: “We are reunited with our great motherland, with great Russia”.

Meanwhile, the UN said it was “committed” to Ukraine’s “territorial integrity” within its “recognized” borders.
Results Announced September 30 by Putin

Russian President Vladimir Putin is likely to announce the annexation of Ukrainian territories to join the Russian Federation on September 30. Putin will make the announcement in a speech before the Russian parliament.

As reported by Reuters and The Guardian, Tuesday (27/9), the estimate was delivered by the British Ministry of Defense in the latest intelligence information released Tuesday (27/9) local time.

“President Putin is scheduled to address both houses of the Russian parliament on Friday, September 30. There is a realistic possibility that Putin will use his speech to officially announce the accession of occupied Ukrainian territories into the Russian Federation,” the British Ministry of Defense said in a statement.

“Russian leaders almost certainly hope that any announcement of accession will be seen as a reinstatement of the name ‘special military operations’ and will consolidate patriotic support for the conflict,” the statement said.
 
Kiongozi wa maeneo yanayotaka kujitenga angepigwa Risasi. Bwana Denis Pushilin anatakiwa apigwe Risasi. Maana yeye ndio anayeleta machafuko
 
Unajitekenya weee halafu ukimaliza unaangalia kulia na kushoto je? Watu wanakuangalia? Kisha unajichekesha kwa nguvuuu kwaa kwaa kwaaa kwaaa

Counter offensive inaendelea Urusi iendelee kusikilizia dawa sindano bado inadungwa

Na log off Z
 
REFERENDUMS TO JOIN THE RUSSIAN FEDERATION 2022

Final Results
Percentage of the population which votes Yes to joining Russia:

Donetsk Republic 98.69%
Lugansk Republic 98.42%
Kherson region 87.05%
Zhaporozhye region 93.11%

Mwanaume anaongeza mipaka ya maeneo mvulana anaagiza silaha usa.. kupanga ni kuchagua

Uraaaaaahaaaa uraaaaaaaa
 
kura kama za ccm unashabikia ujinga eti?
 
REFERENDUMS TO JOIN THE RUSSIAN FEDERATION 2022

Final Results
Percentage of the population which votes Yes to joining Russia:

Donetsk Republic 98.69%
Lugansk Republic 98.42%
Kherson region 87.05%
Zhaporozhye region 93.11%

Mwanaume anaongeza mipaka ya maeneo mvulana anaagiza silaha usa.. kupanga ni kuchagua

Uraaaaaahaaaa uraaaaaaaa
Warusi hawezi kushinda vita kwa makaratasi kiurahisi hivyo.
 
Kwamba warusi wamejipigia Kura, leo Mji wa Moscow ikiamua kujitenga inaamua tu...au Kuna utaratibu wa kufanya hivyo. Ukijiona unayo nguvu unaanzisha tu uchokozi.
 
Yale mazingaobwe uchwara tu Ili kuficha aibu wanayopata kwenye counteroffensive, lakini kihualisia ni kwamba hiyo Hali haitasaimsaidia chochote, kichapo kipo palepale,

Kwani kilicho msukuma Putin kuanzisha special operation ndani ya Ukraine ilikuwa na lengo gani, labda tuanzie hapo - naona kuna crusade kubwa ya media za magharibi na viongozi wao kupotosha sababu zilizo mfanya Putin kuanzisha mashambulizi in the first place - wanamkalia kooni Putin lakini wanafiki wa magharibi hawasemi chochote kuhusu kupiga mabom Yugoslavia na kuimega mega Yugoslavia kwenye vinchi vidogo vidogo na kudai ni independent Nations lakini Putin aki-emulate NATO/US kutaka majibo ya kusini mashariki yenye wakazi wengi wenye asili ya Urusi ambao hawataki kuwa chini ya Serikali dhalimu ya Zelensky ambayo ilikuwa inawaua ethnic Russians kwa wingi na kufanyiwa mambo ya kikatiri kwa kuwatumia jeshi la neo NAZI Azov chini ya usimamizi wa Zelensky - raia 14,000 waliuwawa lakini hakuna kiongozi wa USA au EU aliye wahi kukemea mauuaji hayo, hata vyombo vya habari vya magharini wanao jitia kimbelembele kwenye harakati za kuetea haki za binadamu havijawahi hata siku moja kumkemea Zelensky - wako kimya kabisa kazi kumunanga Putin 24X7, wanafikiri Dunia haijui unafiki wa US na EU.
 
Kiongozi wa maeneo yanayotaka kujitenga angepigwa Risasi. Bwana Denis Pushilin anatakiwa apigwe Risasi. Maana yeye ndio anayeleta machafuko
Sasa wameshindwa nini kumpiga risasi au unafikiri ni jambo jepesi kama unavyodhani? Mwigulu amekuletea matozo ya hovyo hovyo umeshindwa kufanya lolote na kwa jeuri anakuambia uahamie Burundi.
 
Back
Top Bottom