Mwanadam anaaminiwa na kusikilizwa Kwa historia yake sisi wananchi wa kawaida tuangalie historia zao akina Mwakyembe na Lowasa tangu wameingia serikalini yupi amelipatia taifa faida tusiweke chuki fitina na majungu
Rais wetu kipindi kile alikuwa mvumilivu kama mtakumbuka mwaka 1995 miaka kumi baadae akawa Rais hata Lowasa alijiuzuru bila kumtukana MTU wala kumkashifu mtu na kukaa kimya lakini miaka mingi baadae ukweli unajitenga na uongo Kwa hiyo akiwa Rais October hakuna wa kushangaa
kila Mtanzania ana haki ya kugombea uongozi kama hafai wanao mchagua ndio watamuhukumu kwa kutomchagua na Mh Lowasa ana haki hiyo kwa hiyo apewe nafasi ya kusikilizwa na watu waamue inaonekana wengi wanazungumza mambo wasio yajua maana majungu na ukweli vitajitenga siku moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.