JK atoa maneno ya kinabii jana

JK atoa maneno ya kinabii jana

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,827
Reaction score
27,616
Jana mwenyekiti wetu WA chama alitoa dondoo chache na safi kabisa za kinabii,manabii wengi hutoa maneno ambayo wakati mwingine huwa tata au kuyatafakari na kuyaelewa huwa ni kizungumkuti! kwani kuna ambao watayaelewa na baadhi hatayaelewa ili mradi unabii utimie !/

chama kiache mazoea ya awali na kisimame na kujitafakari kichague mtu ambaye labda tunaweza mwita "energy server" atakaye ipunguzia ccm shurba na maangaiko yasiyo ya msingi,atakaye kiletea chama ushindi kirahisi bila shurba namwamini jembe "kinana" naana mahangaiko aliyaona aliyagusa anayatambua/
 
swali je yupo anae kubalika na wengi ndani ya Ccm na nje zaidi ya Lowasa? tujibu bila jazba
 
Kukubalika au kutokubalika na ccm ni suala tofauti na kumpata mgombea safi
 
Jana mwenyekiti wetu WA chama alitoa dondoo chache na safi kabisa za kinabii,manabii wengi hutoa maneno ambayo wakati mwingine huwa tata au kuyatafakari na kuyaelewa huwa ni kizungumkuti! kwani kuna ambao watayaelewa na baadhi hatayaelewa ili mradi unabii utimie !/

chama kiache mazoea ya awali na kisimame na kujitafakari kichague mtu ambaye labda tunaweza mwita "energy server" atakaye ipunguzia ccm shurba na maangaiko yasiyo ya msingi,atakaye kiletea chama ushindi kirahisi bila shurba namwamini jembe "kinana" naana mahangaiko aliyaona aliyagusa anayatambua/

Mpumbavu wewe hapa ni Somalia?
 
Namwona Kinana akiandaliwa nafasi ya urais..subiri yatatimia tu..
 
CCM needs an Energy server politician / "big win nless energy"

***only LOWASSA****
No way out unless tutajalaumiana Burr
**itumike political science sasa**
 
Watu wengine ma pi mbi kweli unashindwa kutoa comment zenye maan na kukimbilia ubaguz (Somalia inahusiana na nn ) ww mwenyew ukiambiwa uthibitishe URAI wako unaweza ukapata kigugumizi.
 
John P. Magufuli Could be the hottest Candidate
 
Back
Top Bottom