Recent content by MalafyaleP

  1. M

    Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

    chief usinikasirikie.Mambo mengi. Hata hivyo makala hii haikuwa na maudhui ya kuuza nguruwe. 1. Hatuna wanyama wa umri huo katika bidhaa zetu 2.Kwa mahitaji ya bidhaa zetu zozote wasiliana nasi kwa namba tulizoweka kwenye makala 🤝
  2. M

    Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Nyama ya nguruwe inaliwa na sehemu zote duniani na katika nchi ambazo zinaongoza kwa watu kuishi miaka mingi duniani kama Japan na Korea Kusini. Nyama ya nguruwe ni ya pili duniani kwa kupendwa na kuliwa na watu wengi duniani . Waweza ona data hapa kwenye internet zipo nyingi mfano hapa...
  3. M

    Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

    Na watz wengi wanapenda kusimuliwa:) tena kusimuliwa manufaa tu sio changamoto na namna ya kupambana nazo. Inafaa kwenda zaidi ya hapo!
  4. M

    Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

    Habarini za mwaka mpya wana Jf! Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
  5. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Habarini za mwaka mpya wana Jf! Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
  6. M

    Nafanya uwekezaji wa Nguruwe

    Siku nyingine kabla ya kuanza biashara hakikisha una soko yaani unajua pa kuuza. Dar kuna machinjio nyingi za nguruwe anzia huko.Pia instagram wanaofanya biashara za nyama wapo wengi na kurasa zao. waweza wasiliana nasi tukupe connection
  7. M

    Msaada: Nguruwe wangu wana kasi ndogo ya ukuaji

    Ukuaji unategemea aina ya mbegu na matunzo(tiba,lishe,mabanda). Labda ungepiga picha ukaonyesha usaidiwe. Waweza wasiliana nasi pia kwa ushauri zaidi 0789412904
  8. M

    Mradi mdogo wa nguruwe

    🤔Hizi business plan za namna hizi.Nashauri akili hizi za kuambiwa changanya na za kwako🤓 .
  9. M

    Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Mmekaa,mnajaribu kusumbuka na mtu ambae yupo frustrated na kama walivyo wengi kajaribu kutafuta wa kumlaumu. Mungu halaumiwi na wala uwezo wake hauwezi chunguzwa. Kuna kipindi alisema waache wapumbavu waendelee na upumbavu wao. Kuna kipindi wana wa Israel aliwaacha waendelee na njia zao. Na pale...
  10. M

    Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    🤣🤣🤣 Words are opinions;action is the only truth🤣🤣 🤣🤣
  11. M

    Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Ni sawa.Nilikuwa nna maanisha unawauza wakiwa na umri gani na uzito gani!! Ila nimekuelewa;kwenu haijalishi umri wala uzito wa mnyama;yawezekana pia haijarishi ni gharama kiasi gani umetumia kuwalea hao nguruwe🤭.Hao jamaa wakija bandani wakachagua na mkaelewana basi wanachukua😊🤔!Nadhani namna...
  12. M

    Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    🤔😀.Hao nguruwe unawapeleka sokoni wakiwa na umri gani?! Wanakuwa na uzito gani wanapoenda sokoni!!?
Back
Top Bottom