Recent content by malackN

  1. M

    Nauza simu ya Sumsung s4 kwa bei nzuri niko dar

    simu iko vizuri, kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0658105387
  2. M

    Tuhuma dhidi ya Mhe. Mbowe kupewa fedha: Hatua za kisheria kuchukuliwa

    Ajibu na hoja za kutelekeza familia, kuhonga nafasi ya viti maalumu kwa JOYCE MUKYA chadema na kujikopesha hela za ruzuku za chama
  3. M

    Watanzania tusisubili zitto hayupo dunia hii ndo tuanze kumpa sifa

    NAOMBA NIINGIE KWENYE MAADA MOJA KWA MOJA: Jamani nani asiyejua kama zitto ndio chanzo cha vijana wengi kupenda siasa ndani ya nchi yetu, Nani asiyejua kuwa mafisadi wakisikia jina la zitto presha inapanda wakijua zao zimefika. Niliwahi kukaa na rafiki...
  4. M

    Sababu za Tanzania kutengwa EAC na Kenya, Uganda na Rwanda

    Big up mwitaz kwa kuleta information, hawa wakenya tusipo jipanga tutakuwa watumwa wao
  5. M

    Sababu za Tanzania kutengwa EAC na Kenya, Uganda na Rwanda

    dudus kinachozungumziwa ni mipango, hata hizo issue tunazo sema wametutenga bado ni mipango
  6. M

    Sababu za Tanzania kutengwa EAC na Kenya, Uganda na Rwanda

    Naona sasa post iko vizuri
  7. M

    Sababu za Tanzania kutengwa EAC na Kenya, Uganda na Rwanda

    Hivi ndivyo vilivyo sababisha Tanzania kutengwa na KENYA, UGANDA na RWANDA zipo sababu nyingi but hizi ni kuu kwa mtazamo wangu; Kwanza ushindani kati ya bandari ya Dar na ile ya Mombasa. Pili upatikanaji wa mafuta na gesi ya kutosha TZ wakati UGANDA...
  8. M

    Shamba Linatafutwa

    nitafute kwa namba 0714347177shamba lipo luvu morogoro road
  9. M

    Shamba Linatafutwa

    Nitafute kwa no 0714347177
  10. M

    Ninashida na mwanashelia plz contact by 0768582538

    acha utoto! kwahiyo unataka kuniambia sijui kama nikimwaga data watu watakoment
  11. M

    Ninashida na mwanashelia plz contact by 0768582538

    0768582538 plz kuna kes ya madai
  12. M

    Nafasi za kazi tanzania port authority.

    Alichoandika ni kweli, maana nimejalibu kuwasiliana na watu wa tpa wameniambia walikuwa wanajalibu program hii but at any time watatoa
  13. M

    Zitto mkombozi wa inchi aliyekubalika hata kwa wana CCM

    Inanisikitisha sana kuona vijana wengi wa cdm tunashindwa kufanya siasa safi kwa kudanganywa na ccm, niaibu kubwa sana kwa kijana msomi kudanganyika kwa mbinu chafu za ccm na kuamini eti mwiba mchungu kwa ccm ambao unawachoma kila siku eti ni mfasi wao ukiuliza kwa nini eti kisa wana ccm...
Back
Top Bottom