Recent content by makwinyajerome

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyajua Kuhusu Rais Wa Korea Kaskazini

    Maelezo yako 90% ni uongo!! Tupe sources, ni taifa masikini???????
  2. M

    JamiiForums Tanzania NMB iringa mjini Hawana hela?

    Ni wiki sasa NMB iringa mjini wanatusumbua wateja hawaweki hela ATM zote,mpk uingie ndani meneja haeleweki yaan usiombee uwe hauna hela cash alaf unategemea utoe hela hapa,utalia siku tatu no services wala jibu la maana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndani ya saa 12 zijazo Jaji Werema kujiuzulu kunusuru Serikali kuanguka

    Tupe source za uwakika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea alipokuwa akizikwa Nabii Eliya Munuo wa Mbezi Beach

    Hamna cha maana uongo mtupu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunaipenda Tanzania lakini kwa hili hapana!!

    Labda watuchangishe kimya kimya kwa kutupandishia vitu bei km vile umeme,maji bidhaa za madukani au watumie mbinu km ya makampuni ya simu wanavyo tuibia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    Sitta kei turn warioba jembe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tabia za wazungu

    1>boys wana wadharirisha Dada zetu kimapenzi kwa Kuwala.... 2>wanapenda kunyenyekewa alaf wanakudharau 4
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Jamani tige na Veda ni wezi sana sometimes wanakuunganisha na Huduma ambayo ukiingiza vocha wanalima hela ukiwapigia wanazingua ndio maana nimehamia SMART
Back
Top Bottom