Recent content by makwegaFMM

  1. M

    Kwa hizi zana za Kivita zinazoondoka US kuelekea Israel nashindwa kuelewa ni nani hasa anapigana na Palestine! Ni sawa na Libya Kwenye Vita ya Kagera

    Baada ya Nyerere kumrejeshea Askari wake waliokua wametekwa bila masharti. Gadafi alimeaga mafuta na lami kwa wingi hapa Tanzania Kama shukrani. Nadhani hakutarajia kitu kama hicho.
  2. M

    Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

    Siku zote Waislam tunatakiwa tusimame upande wa haki. Imesemwa upande wa HAKI haijasemwa upande wa WAISLAMU. Wewe ukiwa Jaji au Shahidi Muislamu unapohukumu au kutoa ushahidi, angalia haki iko upande gani bila kujali dini yako na anaehukumiwa au kutolewa ushahidi.
  3. M

    Serikali itunge sheria kali kwa watakaoharibu uwanja wa Taifa ili iwe fundisho kwa wengine

    Halafu hawa jamaa wana rekodi ya kung'oa viti kwenye mechi ya derby.
  4. M

    Nabi kapigwa chini FAR Rabbat?

    Wale jamaa hawana lolote wale wanaringia kazi zao tu wale wakifukuzwa kazi leo wale watakua hohe hahe.
  5. M

    Yanga nambari wani kwa online engagements katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Mbumbumbu katika ubora aliousema RAGE. Hizo data ni mwezi wa September. Mechi za makundi zimepangwa mwezi gani?
  6. M

    Maamuzi ya Rais Samia kubadili jina la Chuo cha Diplomasia kuwa Dr. Salim Ahmed Salim centre for Foreign Relation yapo sawa kidiplomasia?

    Basi ondoa neno "umeona kitu chochote" weka neno "omeona Chuo Kikuu chochote" ili tuanze mjada upya.
  7. M

    Maamuzi ya Rais Samia kubadili jina la Chuo cha Diplomasia kuwa Dr. Salim Ahmed Salim centre for Foreign Relation yapo sawa kidiplomasia?

    Wangetaka wangeweza kulibadilisha kidogo lisiwe copy right. Vipi kuhusu Mkapa na Magufuli? nayo ni matawi? Au mashina?
  8. M

    Maamuzi ya Rais Samia kubadili jina la Chuo cha Diplomasia kuwa Dr. Salim Ahmed Salim centre for Foreign Relation yapo sawa kidiplomasia?

    Tawi la chuo Cha Mwalimu Nyerere lipo Bububu. Dr John Pombe Magufuli Secondary School ipo Mwanakwerekwe. Mkapa Road inapita Uwanja wa Amaan kuelekea Mtoni Kidatu.
  9. M

    Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

    Naikumbuka hii ya 1982 ilinisikitisha sana kwa figisu walizofanyiwa Yanga kule Misri. Mpaka half time ubao 0-0 Dakika ya 11 kipindi cha pili Omar Hussein (Keegan) anaweka chuma refa anakataa. Waarabu wakaona isiwe tabu hawa ni kuwatoa mchezoni tu basi. Na kweli mashabiki wakaanza vimbwanga vyao...
  10. M

    Ally Kamwe aliona mbali aliposema target yao ni makundi.

    Hupo pot 2 wa kundi B ataambulia jumla ya alama tatu tu atakazozipata katika uwanja wake wa nyumbani na kujikuta ni wa mwisho kwenye kundi lake. Atakua amekufa KIUME kweli kweli safari hii.
  11. M

    CEO-YANGA Tumeshatimiza Malengo hayo Mengine yakija ni Bahati tuu?

    Yanga waliset target yao kabla hata ya kucheza na ASAS. Walijuaje kama watakutana na hao uliowataja? Mungu tuwekee RAGE wetu.
  12. M

    Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

    Ngumu sana hii kutokana historia ya huko nyuma. Viongozi wa Simba ni wanafiki wanaweza kukubaliana na wenzao baadae wakawasaliti. Case study ipo. Viongozi wa Yanga na Simba walikubaliana wasipeleke timu za o kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa KAGAME CUP baada ya ombi lao la...
  13. M

    Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Watoto wa siku hizi ujuaji mwingi sana. Wakiona jambo la watu hawaulizi kwanza mbona hili liko hivi.
  14. M

    Kwa tunaofuatilia mpira wa Africa ndiyo tunajua kuwa Jwaneng Galaxy ndiyo timu Bora kwenye hatua ya pili ya mashindano ya CAF

    Hawa jamaa wamejitahidi sana basi ni alama moja moja kwa Mkapa, ugenini ni kichapo tu.
Back
Top Bottom