Recent content by makuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Je wangekuwa jamaa zetu wa nguo za kijani yangetokea hayo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua hili jengo lipo wapi na linahusika na nini adondoshe comments zake hapa.

    Arusha maeneo ya majengo,karibu na TANAPA kwa ajili ya watalii
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinana aonekana akila bata coventry,UK!

    Je,mtu anatakiwa kutumwa Hospital au anatakiwa aende mwenyewe? Ni swali tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Ni hatariiii,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Wapi Lizaboni?hatuoni mchango wake au jiwe gizani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Huyu Madabida si yule alikuwa kila mara kweny ziara za mkulu alikuwa front line na yeye kukagua?
  7. M

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Katika kampeni za mwaka Jana si kuna wapiga kampeni kutoka upande mmoja wakiongozwa na mwenye kijiti aliyetuacha wa kijani kuwa sirikali imejenga kiwanda cha cement na kitatoa ajira na kuondoa/kupunguza uhaba wa ajira Mtrwr na mikoa ya kusini, Imekuwaje tena? Tiiz of industries?????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Why Kahama Oil Com Kusamehewa Faini? Tunapakwa Rangi

    Ni mbunge wa Kisesa huko huko
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Ukubwa gani tafadhali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga Arusha maeneo ya Engosheratoni

    Kwa mkazi wa Arusha anayehitaji nymba ya kupanga maeneo ya Engosheratoni, Vyumba viwili,jiko na choo ni vya nje, Umeme ni wa solar,Maji yapo karibu tu na hapo nyumbani, Bei ni maelewano, Tuwasiliane 0712-490178
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaompuuza Makonda nawashangaa, ipo siku mtamkumbuka

    Umetokea Lumumba?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi miembeni ina Mwl mmoja tu

    Tatizo ni mazingira magumu,madarasa yameezekwa kwa nyasi na siyo madarasa haswa ila miti imesimamishwa zikawekwa nyasi tu,hakuna madawati ya kutosha,hakuna nyumba za walimu,walimu na wanafunzi wanatembea umbali mrefu na wanakutana na wanyama kama tembo na wanyama wakali,hivyo hakuna Mwl...
Back
Top Bottom