SIKILIZEN
Usikilize moyo wako na utayari wako nafasi hii ya jkt ni ya kujitolea lkn ajira zitakukuta humo cha msingi uwe mvumilivu na utayari ukijua kwamba unaenda kupigania taifa lako ...nimepitia comments zote humu lakini sijashangaa kukutana na maswali km hayo sababu bdo hamjaingia...
Jamani anayefahamu dawa au sumu inayomaliza kabisa mende aniambie hawa mifugo kwangu wamekua kero napuliza dawa lkn hawafi ndio sanazid kunenepa na kuzaliana kwa wingi.
DAWA IPI AU SUMU GANI NI BOMBA AU NITUMIE NN?
Napenda kutumia fursa hii kuwasalimu wana jamii wote na kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayofanya kwa kweli ni mchango mkubwa ktk kuendeleza taifa letu. Kwa mda mrefu nilikua nikifuatilia jf kama mgeni lakini sasa ni wakati wa kujumuika pamoja nanyi. AHSANTENI MBARIKIWE SANA
Kuna taasisi moja inayohusika na elimu ya juu hpa dar-es-salaam imewafukuza wanafunzi 45 kwa kosa la kufoji risiti za ada.Ni kweli makosa haya yalifanyika lakini taratibu za kumfukuza mwanafunzi hazikufuatwa kam student handbook inavyosema pamoja na university charter ya taasisi hiyo. Kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.