Recent content by makusanya

  1. makusanya

    JamiiForums Tanzania Waraka wa pasaka toka kwa mchungaji wa Pentekoste

    Upuuzi mtupu
  2. makusanya

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Dah!hata mimi hapa umenigusa, tumemiss sana uchambuzi na maandiko kama haya siyo matakataka watu wengine wanayoandika
  3. makusanya

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Unasoma nini huko?kama hoja zako ndiyo hizi, mapishi nini
  4. makusanya

    JamiiForums Tanzania Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Naona umekuwa mtabiri na wewe siku hizi...hongera sana ushekhe Yahya unauweza vizuri
  5. makusanya

    JamiiForums Tanzania Musukuma: CHADEMA hawana ubavu wa kumhoji na kumfukuza Lowassa. Mwenye mbwa hawezi ng'atwa na mbwa wake mwenyewe

    Huwa natamani sana kujua elimu ya huyu Msukuma....na napata sana tabu kuamini kama ni mbunge au lah. Kuna kipindi alisema Lowassa kajinyea jukwaani sasa hivi anachokiongea ni vituko zaidi,anyways shule acha iitwe shule ni muhimu sana
  6. makusanya

    JamiiForums Tanzania Benard Membe shujaa, Karibu Yusuf Manji Uraiani

    Kaka nafikiri wewe umfahamu Lissu vizuri,mfwatilie toka ana soma utamjua...siyo mtu wa mdhaha
  7. makusanya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

    Huyu si jing.a jing.a lingine tu
  8. makusanya

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Mchambuzi mwenye kuhegemea upande fulani hongera sana kwa uchambuzi kabambe
  9. makusanya

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya azidiwa na kukimbizwa hospitalini baada ya kuwekwa rumande

    Polisi wanakamata wabunge kuliko wanavyokamata wahallifu na majambazi.....lol
  10. makusanya

    JamiiForums Tanzania Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Kosa la Lissu hasa ni nini?kutufahamisha ndege yetu imekamatwa??kusema tunadaiwa??? ama nini?? mbona kama watu wamepata mihemuko sana??
  11. makusanya

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: watumishi wa umma wanapiga simu kwenye vyumba vya habari

    Tucta na Tughe wamekula wamevimbiwa hawana time na watu wao wanasubiri tena Mei Mosi
  12. makusanya

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe yu hoi Kisiasa, bado anatumia hekima

    Umeandika nini sasa?vichaa bwana wanashida sana toka ukose ulaji umekuwa ukimuandama sana Mbowe ungekuwa wa kike ww ungeolewa nae
  13. makusanya

    JamiiForums Tanzania Mwinyi: Isingekuwa katiba ningetamani Magufuli aongoze siku zote

    Mzee ana akili huyu anakufikishia ujumbe kiaina kweli...KATIBA ndiyo mwisho wa mambo
  14. makusanya

    JamiiForums Tanzania Lissu: Spika Ndugai ni Mnafiki, hatutaki futari ya kiongozi anaetubagua

    Mimi binafsi sikumuelewa kabisa spika niliona kama karukwa na fahamu,we unyama wooote ule unaowafanyia wapinzani bado unathubutu kuja kulalamika bungeni wamekususia futari??what do you expect??uliwaona wapinzani mafal.a kuwa unaweza kuwanyanyasa na bado ukawaita wakaja??pole sana...
  15. makusanya

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aelezea utaratibu wa Chenge kuvuliwa uenyekiti wa bunge

    Siasa tu hizi za kutafuta umaarufu,ofisi ya spika ikidhibitisha???itasubiri sana hilo....
Back
Top Bottom