Recent content by MAKUNENGO

  1. MAKUNENGO

    Natafuta mtu wa kupanga nae chumba Jordan University, Morogoro

    Duuu sasa iyo si inakuwa ndoa kabisa ndugu... Gambe situmii
  2. MAKUNENGO

    Natafuta mtu wa kupanga nae chumba Jordan University, Morogoro

    Tar 27 mpka 29 mwezi huu... me natafuta mtu jinsia ta kiume ni pm
  3. MAKUNENGO

    Waliopata admission later udom tusaidiane

    Naomba unitumie na mm Vancheu@gmail.com manake inanisumbua kupata mpk sasa
  4. MAKUNENGO

    Wale wa UDSM kabla hujaamua kupanga soma hapa

    Nataka kushiba kama panya napataje hostel?
  5. MAKUNENGO

    Bagamoyo university kuna nini mbona ada kubwa sana?

    Nilijikuta nasoma hii thread baada ya kucheka kwa sababu nilikuwa nimenuna
  6. MAKUNENGO

    Natafuta mtu wa kupanga nae chumba Jordan University, Morogoro

    Habari ya sasa... kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nimechaguguliwa bachelor of science in psychology and counseling, kama utaenda kujiunga hapo mwaka huu na huna hata mtu wa kupanga nae chumba kam wataka kufanya hivyo. Jinsia ni wakiume tabia tutajuana tu Ni pm tusaidiane tunaweza...
  7. MAKUNENGO

    Niende au nisiende?

    Usiende mkuu ikifika iyo tar 13 lala
  8. MAKUNENGO

    Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

    Dah ahsante nadhani ndo imeanzishwa
  9. MAKUNENGO

    Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

    Vipi wewe wa fire bado hujachukuliwa? Au kama una taarifa zaid za uko basi tujuze mnaondoka lini?
  10. MAKUNENGO

    Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

    Hilo jalo neno.. Shikamoo
  11. MAKUNENGO

    OMAN: Walioapply scholarship

    Dah hayo majibu yako noma... Eti scholarship siyo rahisi kupata bingo. Kwani we uliombea ukiwa wapi? Na hata km mwenzako yupo kantalamba ndo uoneshe iyo dharau?
  12. MAKUNENGO

    Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

    Haaaaa haaa GREAT THINKER.. umemjibu vyema, dah eti wao kazi ndo zinawatafuta. Ishu ya ajira ni ngumu kote kote tu
  13. MAKUNENGO

    Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

    Tuje jkt mara ngapi? Tumepitia uko tayari na icho cheo ulichonacho kwa sasa ndili nilichonacho... wenyewe walijua kwamb kuna SM ambao wapo kitaa or hata chuo na ndo maana wakaamua kututangazia na uku mkuu
Back
Top Bottom