Hicho si kigezo, kwa sasa takwimu zinaonyesha bado marekani anaongoza,hata kwenye 8 bora China haipo.kuna vitu Vingi vya kuangalia.ukiangalia Kigezo cha GDP , Qatali inaongoza kwa uchumi duniani
Ongezeko LA mshahara ama increment ni matakwa ya sheria na mahusianao kazini na mikataba ya kisheria kikazi inasema kila tarehe moja mwezi Wa 7 lazima kuwepo na ongezeko LA mshahara na siyo fadhila ya raising au mtu yoyote kujiamlia kwani ni matakwa ya sheria.siyo matakwa ya rais kupanga atatoa...
Mfungo Wa kuvutiwa NA chakula au kuudhika wakati wengine wanapika ni Wa kimwili sio Wa MUNGU.KILA MTU ANA IMANI YAKE KWA NINI UZUIE MTU KUPIKA WAKATI SI IMANI YAKO ETI NI RAMADHANI ,KWANI HI NI NCHI YA WAISLAMU? BIG NOOO TO THIS NA HII TABIA INAENDELEA SANA SIKU HIZI SERUKALI INATAKIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.