Duuuuu bunch of fool... Haya mambo ya kuongoza watu yanahitaji busara na upeo mkubwa.. Kabla sijasoma comments nilimuona spika yupo sahihi kumbe ni pumba tuuu
Njaa zako ndo zinakusumbua ili ujikombe
1. Thamani ipi unaizungumzia nilipo mimi maji, barabara, elimu bado ni kero au utumishi wa umma upi??
2. Ufisadi upi natunawaona mafisadi yana peta
3.Viwanda au vi-wonder
4.hizo flyovers, standard gauge bado hazijakamilika so piga kimya
5.Hii elimu...
Wewe nawe umechanganyikiwa ni wakuonewa huruma hujui sio Kila Raisi ni raisi wengine madikteta na wakiuka sheria sio WA kuchekewa Ni wakupingwa na kila mwananchi
Sauti Ya kinabii inamuonya lakini kiburi cha madaraka kitamponza daily kupimana mkojo na kuhojiana uraia huku wachumia tumbo na Lumumba buku 7 wakipiga vinubi na kufurahia.wana macho hawaoni, wana manasikio Hawasikii
mshana jr
Tungepata waonyaji na wakemeaji wa huu uhuni ingependeza haiwezekani mtu mmoja apeleke nchi jinsi anavyotaka Hata Kama kakosea asikosolewe hii sio fair. Ila akumbuke atawadanganya Watu Wote ila sio Siku zote. Ajifunze Kwa Mugabe Ipo Siku udhalimu utafika mwisho. Kila mtu anaogopa yy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.