njia rahisi ni kuchagua wanawake kwa wingi kwani kwa mfumo wa bunge letu hakuna tofauti wanapoingia bungeni wanafikiri kama mtu yuleyule, elimu ileile na kupinga kwa nguvu zote uwingi wa majimbo. Tutafute njia nyingine ya mgawanyo wa majibo kuna majimbo hayastahili kuwa jimbo, tuanze kupunguza...
Ni visa vya makufari
hawatakuwa radhi nanyi mpaka mfuate mila zao
hamkufuata mila zao na haya ndio matokeo. subira na kumtegemea Allah ndio kilichobaki kwenu.
Nchi yangu Tanzania nakupenda. tuna wasomi wa kutosha, lakini najiuliza hivi kweli usomi wetu unatusaidia. kuna relation kati ya umasikini na usomi, tunategemea kwenye wasomi level ya umasikini iwe chini. msomi ni lazima apange mambo yake hata miaka 100 ijayo. nalishangaa shilika la nyumba 10-50...
hivi jamani tuko makini kweli sampuli ya mbowe na silaa watuongoze? acha tu ccm waendelee kutuongoza kuliko samuli hii ya kina slaa na mbowe hata ka issue kadogo wameshindwa kukahandle simply ubinafsi na uroho wa madaraka je watawezo kuhimili nchi kubwa kama hii?. nilikua natafuta amani lkn kwa...
achaneni na majungu biashara ni yako suala la kuanza kukusanyana na kutaka kugoma is a rubbissh kama unaona biashara hailipi close your shop na kafanye mambo mengine yatakayokufaisha kuliko kutuletea vurugu. mkitaka kuona mnafanya ujinga acheni vibanda vyenu uone watanzania wengine watiifu...
jidanganye tu uone uko peponi hapa duniani, usifikiri kuwa kafiri ni mafanikio, hujajitambua na kamwe hutajitambua till you die. ni neema kuwa muislam na dunia ni ni mapito tu we have a long jouney brother. endelea kujenga chuki time will tell
Ebu acheni unafiki mmelazimishwa Kuwa walimu? Mbona kuna walimu tena wa primary wanalipwa zaidi ya 1.5mill? Kwanini mnaasume walimu wote wanalipwa 300,000? Jeendelezeni mpande vyeo au tafuteni kazi zingine zinazolipa lkn kuchukua mshahara bila kazi ni Zambi kubwa zaidi ya ufisadi. Kumbukeni...
achana nao wafanyabiashara wasiojitambua. TRA & GVT MUST FAME IN ITS DECISION. Commisioner nyang"anya hawa watu leseni tupo wajasiliamali wachanga na tuko tayari kutumia EFD, A GREAT OPPORTUNITY!!!!!!:flypig:
waache kutuzingua mfanyabiashara mwenye akili timamu hawezi kuacha kufungua duka eti hataki efd. tatizo la nchi hii ni wafanya biashara wengi shule hakuna wachache wenye shule wanaokwepa kodi wanawaburuza wengi wenye shule ndogo. ila kumbukeni historia ya luku huko south africa, nanyi efd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.