Recent content by Makuke

  1. M

    KERO Utaratibu wa kufukuzwa Wodini

    Habarini ndugu zangu, Kwa masikitiko makubwa naomba kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa huduma za afya nchini kwetu hasa kwa wagonjwa waliolazwa ambao hali zao sio nzuri. Ni wiki sasa nimempoteza mama yangu mdogo na mtu wangu wa karibu sana hapo Hospitali ya Mloganzila, kwa kile ninachohisi ni...
  2. M

    Ushauri: Nimelogwa au ni upendo?

    Jamani wana JF, Naomba mnisaidie hata ushauri tu, sijui nimelogwa au ni upendo tu maana hii experience sijawahi kabisa kuwa nayo tangu nizaliwe. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nilikua na mpenzi wangu (25 yrs) tuliekuwa tunapendana sana tena sana na tumeishi kwa mwaka mmoja sasa kwa malengo ya...
  3. M

    Jiajiri kwa Kupata Kipato na blogs

    weka mfano wa blog ulizowahi kutengeneza, tuone.
  4. M

    Ukimwi hauonekani kwa macho, namshukuru MUNGU wangu

    ( true story) Ilikua ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana nikiwa nachezea PC nikiangalia Movie, ndipo nilipowaka tamaa ya mapenzi iliyojawa na hatari kubwa ndani yake, Ndipo nilipoamua kuchukua simu yangu na kwa haraka kuingia katika orodha ya majina niliyoyasave kwenye simu kwa lengo...
Back
Top Bottom